Kusoma Masters na PhD UDSM ni kutafuta ugonjwa wa moyo

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
Waliopita pale watanielewa sana. Kozi ya miaka miwili unaweza kusoma miaka minne. Kozi ya miaka mitatu au minne, unaweza kusoma miaka saba.

Visingizio kibao. Supervisor anaweza kukaa na kazi yako miezi miwili bila kurudisha majibu. Inafika sehemu unakata tamaa anaamua kufanya mambo yako mengine.
 
Hii ni kwa vyuo kibao, kwa nchi za wenzetu kwa sababu maprofessa wanakuwa na contract, usipo deliver kwenye kuwasimamia wanafunzi wamalize kozi zao, mkataba mpya utausikia redioni. Kibongobongo kwa sababu ni ajira za kudumu, wana act umungu mtu.
 
Waulize wametumia muda gani?
Kusoma Masters/PhD Ni speed yako. Tatizo we unadhani Supervisor ndo asome kazi yako bila wewe kusoma na kuandika kwa bidii.
NB; Mimi Supervisor alikua kama kivuli tu (alikuja kusaini document) maana nilijua atanizingua toka day 1 na nilimaliza Masters ndani ya miezi 18 iliyoainishwa kwenye admission letter.
 
Inategemea na supervisor pia, don't generalize....ila wengi wao ni vimeo..
 
Kusoma Masters/PhD Ni speed yako. Tatizo we unadhani Supervisor ndo asome kazi yako bila wewe kusoma na kuandika kwa bidii.
NB; Mimi Supervisor alikua kama kivuli tu (alikuja kusaini document) maana nilijua atanizingua toka day 1 na nilimaliza Masters ndani ya miezi 18 iliyoainishwa kwenye admission letter.
Hebu soma tena ulichoandika. Yaani supervisor ni muhuri tu!. Haaaaaa, haaaaa
 
Kusoma Masters/PhD Ni speed yako. Tatizo we unadhani Supervisor ndo asome kazi yako bila wewe kusoma na kuandika kwa bidii.
NB; Mimi Supervisor alikua kama kivuli tu (alikuja kusaini document) maana nilijua atanizingua toka day 1 na nilimaliza Masters ndani ya miezi 18 iliyoainishwa kwenye admission letter.

Itakuwa ulimtoa au alikuandikia hiyo thesis au dissertation.
 
Sasa kama ukiingia kazini mwenyewe halafu supervisor hasomi kazi yako na yeye ndiye anayesahihisha na kukupa comments unatokaje kwa mfano?
We endelea kudemka tu humu. Nimekuambia supervisor nilipoona Hana msaada nikajisomea mwenyewe na wakati mwingine marafiki walinisaidia kuisoma kazi ilipokamilika ndo nikampelekea asaini. Nitapita hv. Anayesahihisha Dissertation Ni External Examiner.
 
Back
Top Bottom