kusoma master

kusoma master

nazihitaji zote napenda nitafanya tu kwa muda lakini malengo y
kuzihitaj nazihtaj zote lazima niwe niangalie fursa nying nying japokuwa kusoma master ni malengo yangu
Sahivi kipaumbele chako ni kusoma master or connection ya ajira???
 
nazihitaji zote napenda nitafanya tu kwa muda lakini malengo y
kuzihitaj nazihtaj zote lazima niwe niangalie fursa nying nying japokuwa kusoma master ni malengo yangu
kama zitakuwepo kaka usisite kushare na mm ndugu yangu mm ni mwalimu mzuri Sana tena Sana katika physics and mathematics
 
Sahivi kipaumbele chako ni kusoma master or connection ya ajira???
[/QUOTEkusoma master ni ghali hilo unajua nafatilia schoolarship fulani hzo za SiDA kuna Prof mmoja alinambia zinakuwepogo hapa udsm ni za pure mathematics na mathematical modelling Kama zikitick nitaenda kusoma master otherwise nitaendelea kutafuta ajira ndo hivyo kaka
 
Back
Top Bottom