Degree yako ya kwanza ulisomea fani gani?
ulisomea fani ipi?
jinsia yako?
Nimesoma computer science mkuu...
Usihemke bure. Ukiona unaulizwa maswali lukuki kinyume na matarajio yako jua umechemsha kwenye kusuka mada yako. Hili ni jambo la kawaida wala uhitaji kuita wadau vimberembere na majina mengine ya ajabu. Kusoma fani moja au zaidi hutegemea na ulichosemea kwenye shahada yako ya kwanza. Kuna na fani nyingi si jambo baya ingawa unakosa ubobezi kwenye fani husika. Mie nimesomea zaidi ya fani nne lakini niliamua kubobea kwenye moja.
Kifupi mkuu,me ninastashahada ya juu ktk sayansi ya komputa,nataka nisome post,napata utata,je nisome post ya computing au fm...hapo ndo mahali ninapohitaji ushauri,isije ikala kwangu...
kwa nini usisomee tu MBA?
masters in business administration?
ina cover maeneo meengi mno..
utakuwa na uwezo wa ku apply kazi almost popote
Aksante mkuu,vp nikipiga postg ya fm,af ndo nisome mba...
kusoma tena PG ya CS ni kulundika vyeti visivyo na maana mbeleni, CS unahitaji 1st degree tu hayo mengine unajiendeleza kwa online tutorials. Soma business ulingo ni mpana sana
do that
utafurahi....all the best
Thanq...vp mkuu,kwenye soko la ajira ntaweza ku..compete kweli,au itakuwa kikwazo...
kama nimekuelewa
basi finance ndo bomba mno
inaajiri na itaendelea kuajiri...