Kweli kabisa siri ya mafanikio ni kujituma....! Uganda /Kenya kumkuta Six liver or degree order anapiga mzigo gereji ni kawaida tu....! Sema wabogo tunapenda sifa kuliko kazi MTU anapenda kazi nyepesi (Ofisini) huku akisahau kazi ngumu ndo zenye masilahi......! (Ujinga usio na hasara ni bora kuliko Elimu isiyo na faida.)