Kusitishwa kwa UMISSETA na UMITASHUMTA shuleni

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
kwa kile kinachodaiwa ni harakati za kuweka uchumi sawa, Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA yameahirishwa shuleni.

lengo likiwa ni kuhamisha fedha zilizotengwa kuendesha mashindano hayo kutumika katika ununuzi wa madawati.

pia, kuokoa muda wa wanafunzi kujikita zaidi katika kujisomea.

kwa mujibu wa Waziri wa ofisi ya Rais
TAMISEMI George Simbachawene.

Serikali imesitisha michezo ya UMISETA na UMITASHUMTA kwa mwaka huu
 
Swali la kujiuliza ni kua kwa hii miaka 50 ya watoto kukaa chini ni sababu ya Umisseta na Umitashumta?Pili haya mashindano yameanza kama mwezi na nusu toka ngazi ya wilaya sasa hawakujua kua yataathiri programme za madawati?Kukurupuka kubaya.
 
ndiyo hapo tunapolalamikia kuhusu timu zetu kukosa ubora wakati tunaua kabisa vipaji ambavyo kwa kutumia umiseta na umitashumta vingeweza kuibuliwa
 
kwa kile kinachodaiwa ni harakati za kuweka uchumi sawa, Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMITA yamefutwa shuleni.

lengo likiwa ni kuhamisha fedha zilizotengwa kuendesha mashindano hayo kutumika katika ununuzi wa madawati.

pia, kuokoa muda wa wanafunzi kujikita zaidi katika kujisomea.

kwa mujibu wa Waziri wa ofisi ya Rais
TAMISEMI George Simbachawene.
hizi ni antisocial behaviours
Magu ama baba Jesca alikuwa napiga ngoma sana mbona ana PhD ya Chemistry. wacha hiyo. je watu psycholojia wanasemaje kuhusu michezo kwa watoto na kusoma?
 
hizi ni antisocial behaviours
Magu ama baba ***** alikuwa napiga ngoma sana mbona ana PhD ya Chemistry. wacha hiyo. je watu psycholojia wanasemaje kuhusu michezo kwa watoto na kusoma?

Wasiwasi wangu ni vipaji,,,,,,,,,,,,,,,,
Taifa la michezo la kesho mmmh...........!
 
ni wazo la heri, maana wenzetu waliachwa kimasomo walipokwenda kushndana nje ya shule zao
 
Back
Top Bottom