Kusitisha masomo ya Elimu ya Juu

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,236
14,206
Habarini za muda huu wakuu.
Nilikuwa nauliza.. kama mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu (HESLB) nikiamua kusitisha masomo chuoni kwa mwaka husika, halafu nikataka kuomba tena kwa mwaka unaofuata, natakiwa kuanza kufanya tena maombi ya mkopo au kuna process gani za kufuata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanin unaaacha chuo wakati umeshasaini pesa za bodi mara ya kwanza?

Au umeona kozi unayosoma haieleweki?

Inabidi ulipe asilimia 25 ya pesa ambayo ulishatumia...
Sidhani kama kuna njia nyingine mbadala zaidi ya kulipa kwanza uliyotumia ili upewe nafasi ya kuomba tena, japo uwezekano wa kupata teni ni mdogo sanaa

Nakushauri tu pambana umalize hio kozi, mkuu

Ok! Shukran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama kozi hauielewi ni bora uiache tu mambo ya kusoma tuu ilimradi liende sio ishu .

Okeii ni hivi utalipa asilimia 25% kwanza ya kile ulichokitumia then utaomba tena .

Nina rafiki zangu wawili wote waliikimbia Architecture ya ARDHI pale naw wako udsm mmoja anapiga Civil engineering na mwingine anapiga Chemical and processing. Wao pia walifanya same na kitu unachotaka kukifanya wewe .
Hakikisha unapata barua Kwanzaa kutoka chuo ikionesha umekubaliwa kupostpone then nenda ipeleke TCU watakutoa kwenye system yao .

Akili yangu inawaza hilo tu! Shukran..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwanin unaaacha chuo wakati umeshasaini pesa za bodi mara ya kwanza?

Au umeona kozi unayosoma haieleweki?

Inabidi ulipe asilimia 25 ya pesa ambayo ulishatumia...
Sidhani kama kuna njia nyingine mbadala zaidi ya kulipa kwanza uliyotumia ili upewe nafasi ya kuomba tena, japo uwezekano wa kupata teni ni mdogo sanaa

Nakushauri tu pambana umalize hio kozi, mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmmmmh ahaaaaaaaaah kumbe

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Mkuu kama kozi hauielewi ni bora uiache tu mambo ya kusoma tuu ilimradi liende sio ishu .

Okeii ni hivi utalipa asilimia 25% kwanza ya kile ulichokitumia then utaomba tena .

Nina rafiki zangu wawili wote waliikimbia Architecture ya ARDHI pale naw wako udsm mmoja anapiga Civil engineering na mwingine anapiga Chemical and processing. Wao pia walifanya same na kitu unachotaka kukifanya wewe .
Hakikisha unapata barua Kwanzaa kutoka chuo ikionesha umekubaliwa kupostpone then nenda ipeleke TCU watakutoa kwenye system yao .

Sent using Jamii Forums mobile app
Apo umenena broo....vipi kuna uwezekano wa kupata mkopo tena??
 
Back
Top Bottom