Kusini: Wabunge CHADEMA ni vilaza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusini: Wabunge CHADEMA ni vilaza!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyamgluu, Jan 25, 2011.

 1. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Si siri kuna fukuto la mabadiliko katika nchi yetu. Na ni vyema watu wapenda maendeleo kutumia fukuto hili kuwasha moto ambao utakimbiza mafisadi namajambazi kutoka Tanzania yatu kama sio kuwafunga kabisa.
  Ila kwa kiasi kikubwa naona kelele zote, jitihada zote zinafanyika kaskazini tu mwa Tanzania!! Je kusini hakuna viongozi wa upinzani?
  Nitajibu swali langu mwenyewe. Wapo ILA NI VILAZA. Intillegence capability yao yakupambanua mambo kama Tundu, Mnyika, Lema e.t.c ni hakuna. Hawana tofauti na mifisadi ya CCM inayo subiri kula hela zetu tu.
  Mfano mara ya mwisho niliskia Sugu akisema ataendelea kuimba hata kama ni mheshimiwa, na mara ya mwisho kumsikia Msigwa ni akilaumiwa na wana CDM kuhusu kukosa viti vyaudiwani.

  VIONGOZI WACHADEMA MNAWASAHAU WATU WA KUSINI, TAFADHALI NENDENI KUSINI KULETA MUAMKO ILI MAPINDUZI YAWE NA NGUVU YA KITAIFA NA SIO KIKASKAZINI TU!!!
   
 2. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,422
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  waje pia na dodoma. sio siri kuna haja ya kufanya kazi katika mode ambayo ni comprenhensive na inclusive!
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mkuu sina neno na hoja yaho isipokua heading yako ni insult....
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Si bure utakuwa umetumwa. Unatutukania viongozi wetu hivi hadharani na mods wanakuachia tu? Yaani viongozi wa kule nitokako ni vilaza? Wewe ni nani hadi uwatusi namna hiyo viongozi wetu?
   
 5. a

  arasululu Senior Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vilaza maanake nini
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Chadema ni mali ya watu wa kaskazini, nilishasema cku nyingi. Kusini mwa Tanzania, hakuna chama cha upinzani. Hata Dr.Slaa hakufika kusini... Kule wilayani..
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  vidole kwenye keyboard vinapotengana na kasi ya ubongo kufikiri.
  pole athari za propaganda za Tambwe hiza na makamba, pole sana.
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  duh kumbe mtu akisema ataendelea kuimba hata kama ni muheshimiwa ni kilaza? Kwa tafsiri ya haraka haraka ww ndio kilaza wa kutupwa!
   
 9. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Horseshoe nijuavyo mimi kilaza ni mtu mzembe incompetent,kama ina maana tofauti na hio naomba unijuze.
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona una haraka hivyo? au wewe ni shushushu unataka kujua CDM wanapanga nini kwa sasa?
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hakuna watu nawachukia km wanaotumia huu msemo wa kusini sijui kaskazini. kwa nini ujumuishe namna hiyo? na lawama nyingine nawatupia watu wangu wanaotoka mikoa ya lindi mtwara ruvuma. wengi wetu tuna ona ni km udhaifu fulani kutokea au kusema natokea mtwara au lindi au ruvuma, utakuta mtu anasema mimi mwenyeji wa mikoa ya kusini au atasema kwetu kusini huko KWA NINI UNAOGOPA KUSEMA NATOKEA SONGEA? au "NTWARA" mimi mbona mtu akiniuliza unatoka wapi namwambia mie kwetu songea sisemi kusini. mbona watu wa morogoro,tanga dodoma, mwanza wanataja mikoa yao bila hofu. tuache hizooo kwenu ni kwenu tu na wewe mleta mada achana na mambo ya kusini taja mikoa otherwise uliwapima lini ukaona wana mapungufu?
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280

  Mkikaa sehemu wote mna akili nzuri hata vitabu vya utambuzi vitakosa soko, huyo msameeni bure ndio mwisho wauwezo wake wakufikiri, angejuwa mbunge John Komba ni jinsi gani huko alisaidia kwa kiasi kikubwa kuiombea kura ccm kwa stlyle ya tienitieni kwa moyooo mmoja asingeongea maneno ya kuwavunjia watu heshima zao. na watu kama hawa ni unskills ndio maana anashindwa kuheshimu vipaji vya watu wengine. kumbuka mkataba wa ajila ya ubunge ni miaka mitano, lakini kipaji ni cha milele. kuna maisha hata baada ya kutokuwa mbunge.
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  sugu kumentain 'status quo' ndo ukilaza,hii sio 'going concern'kweli? Wenye professional skepticism watakushangaa mkuu. Ukibadili heading na kuondoa matusi,thread yako ingeleta maana kubwa sana ktk kujenga taifa.
   
 14. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  unapozaa mtoto unategemea hajue kila kitu,hao vilaza wape miezi kadhaa watafundwa tuna kuwa sawa.Hata hawa unaowaona leo wako smart hawakuwa hivyo kwa siku chache.Give them time.usiwahukumu sasa kwani ndiyo kwanza malezi yameanza.
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  yUKO SAWA MSIMLAUMU KUSINI PAMEPOA SANA WANASHINDWA HATA NA KAFULILA WA KIGOMA
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  uwez jua iyo, unless umewahi kula nyanga
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dhamira yako ya kuwa na wabunge sharp ni nzuri. Ulionao ndiyo wako wachangamshe wape support; nguvu ya wabunge inatokana na chagizo la wananchama na watu wa eneo hilo.
   
 18. l

  limited JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni kweli, nionavyo mimi ni kwa dakta slaa kutumia muda mwingi kelimisha wanachi wengi wasioamini kwamba tnzania bila ya ccm inawezekana , watumie ruzuku ya chamavizuri hasa kuimarisha chama vijijini ilikupata walinda kura na wapiga kura wazuri 2015
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kaskazini mafisadi
   
 20. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Soma signature yako.

  Chimunguru your anger is unfounded, I believe your reaction is simply an infiriority complex. My reference of the south was merely geographical!! Sasa nashindwa hata nikujibuje na hysteria like reaction uliyokua nayo.

  Kagemero, tuliwachagua wabunge tukijua kua watatrepresent ipasavyo, unavyosema tuwape mda ni kichekesho. Kweli nimemchagua mbunge wangu atetee haki yangu wewe unaniambia nimpemuda aweze kujifunza jinsi ya kuniwakilisha katika kuleta maendeleo nchini kwangu??

  Gsala, Matola na Mchaka chaka. Hehehe ilikua nisiwajibu lakini ah nina kamda kakupoteza. Swala la upeo wa akili sio mahali pake paku u display. Kwanza we can go to lengths discussing the issue of intillegence na frankly sijui kama mna intelligence ya kucope.
  Comment yangu kuhusu sugu ni kwamba nilitegemea katika wakati huu (particularly NOW) ningetegemea wawe mstari wa mbele sana katika kupiga kelele za ubadhilifu ndani ya serikali ya CCM. Ila kelele tunazosikia ni huko KASKAZINI TU je ni kwamba huko KUSINI CCM ni wasafi na hawana madhambi ambayo wanaweza kuya expose ili kuleta muamko kwa watu wao kama ilivyo KASKAZINI????
  Matola nawaongelea wabunge wa Chadema na sio CCM.
   
Loading...