Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
Hey! Don't be excited..
Leo tunasherehekea kuzaliwa kwa mmoja wetu ambaye pia figure muhimu sana
Katika jamii..
Happy Birthday MMAHE
![]()
Na kwa uzuri ni raha tena coz leo ni Mwaka wake wa Pili toka ajiunge na JF..
Hongera sana kwa hili pia.
Afu leo ni Valentine Day..
so amazing!!
![]()
Happy Valentine to you..
One day three actions..
Hongera sana MMAHE wish you Maisha marefu ya furaha na Mafanikio makubwa.
CC: All wings over here!! and
THE BIG SHOW Sizinga EMT Madame B snowhite Adharusi
Happy birthday dada MMAHE.
Last edited by a moderator: