achana naye, mwambie mzee kesi iende mbelebint yupo ovyoo
achana naye, mwambie mzee kesi iende mbele
Fanyianeni Mubahala ( kiapo cha maangamizi dhidi ya muongo ) huyo Mzee atakuwa kazeeka vibaya
Usawa huu umtafune binti kwa laki mbili?Wala husifanye hivo laki mbili ni pesa mingi mno unaweza ukapata hata zizi la Mademu wengi kwa 10000@We mpe hiyo hiyo laki mbili halafu mtafune kweli kufidia
Hapo pa kumwita halafu Mzee au shahidi wake anawafumaMuite kwanza huyo binti mshauliane,akikataa Achana nao,akikubali muombe game kisha uchune kwa baba na mtoto
Huyo maza ukikuta amezidiwa na maradhi njiani utamsaidia?.....hiki kisa chako kinafanana mno na changu ila mimi kimezidi aseeMwaka 1999 nilikuwa natoka shule na mtoto wa shangazi yangu njia tuliyopita ilikuwa karibu na haya malambo ya maji mengi .Tulikutana na jirani yetu mama mmoja hivi wa makamo tukamsalimie tunaenda zetu nae akaenda zake.But yule maza alivofika home akamwambia shangazi kuwa amenikuta namsukuma mwanae kwenye hilo lambo la maji.Shangazi hakunielewa pamoja na mtoto wake kumueleza kuwa ni uongo hakuelewa kabisa .
Nadhani tumeanza kuongea mwaka jana tu
Iliniuma sana na sitasahau kamwe
Huyo maza ukikuta amezidiwa na maradhi njiani utamsaidia?.....hiki kisa chako kinafanana mno na changu ila mimi kimezidi asee
Nina hamu na kisa chakoHuyo maza ukikuta amezidiwa na maradhi njiani utamsaidia?.....hiki kisa chako kinafanana mno na changu ila mimi kimezidi asee
Nakumbuka ilikuwa usiku mida kama ya SAA 2 hivi narudi nyumban wakati nipo njiani nikapita nyumba moja hivi jirani na ninapokaa wakati napita nikasikia kama MTU anaoga hivi nikapiga moyo konde coz sina hofu mana mtaani wananijua japo usiku kumbe wakat nakuja yule MTU aliyekuwa anaoga ni baba mwenye nyumba akawa amesikia miguu yangu akaja ile njia nilokuwa nakuja mm ghafla tukakutana akauliza ww nani nikajitambulisha akasema ahaa nakujua nikamuambia basi mm naenda akasema sawa sasa wakati nataka kutoka kumbe binti wa yule mzee alikuwa anaenda chooni aliposikia mm naongea na baba ake akarudi ndani akafunga mlango mm na yule mzee tukasikia kama mlango umefungwa hivi ila. kila MTU akaondoka zake sasa kesho yake mapema tu naona home imekuja barua naitwa serikali za mitaa nikajiuliza kuna nn ile kufika naona yule mzee wa Jana kaja kunishitaki eti kanikuta nimetoka kwa bint yake chumbani dah..nimejitetea sikuwa kwake mzee hanielewi na ameitwa bint kapigwa ile mbaya ila bint kakataa kama hakuwa na mm sasa huyo mzee anataka fidia ya laki mbili wakati sikuwa na bint yake kwa aina yoyote ile nifanye nn na hanielewi
Wallah naapa sikuwa na huyo bint kabisaaaaKama wewe una hofu ya MUNGU na hata siku moja hujawahi hata kuzungumza chochote na mtoto wala kumpa hela wala nini BASI MWAMINI MUNGU USITOE HELA YEYOTE MUNGU ATAKUSIMAMIA. La kama unatudanganya ila huyo binti una mahusiano naye basi yamalizeni bila kwenda ktk vyombo vya sheria
Usawa huu umtafune binti kwa laki mbili?Wala husifanye hivo laki mbili ni pesa mingi mno unaweza ukapata hata zizi la Mademu wengi kwa 10000@
Pia shahidi mwenyewe anakataa so mwambie aende mbele,wakati mwingine tafuta simu ya kurekodi halafu muandalie mazingira ya uwepo binti wakati anakukana/anakataa
Tunza ushahidi make binti anaweza pikwa na babae akakomaa na wewe mpk ushangae
duh..mkuuMlipe kisha mshtaki TRA alipe kodi
Basi usitoe hio hela WAACHE WAENDE POLIS MUNGU ATAKUSIMAMIA HILIWallah naapa sikuwa na huyo bint kabisaaaa
mkuu pole sana haya mambo dunian yapoMwaka 1999 nilikuwa natoka shule na mtoto wa shangazi yangu njia tuliyopita ilikuwa karibu na haya malambo ya maji mengi .Tulikutana na jirani yetu mama mmoja hivi wa makamo tukamsalimie tunaenda zetu nae akaenda zake.But yule maza alivofika home akamwambia shangazi kuwa amenikuta namsukuma mwanae kwenye hilo lambo la maji.Shangazi hakunielewa pamoja na mtoto wake kumueleza kuwa ni uongo hakuelewa kabisa .
Nadhani tumeanza kuongea mwaka jana tu
Iliniuma sana na sitasahau kamwe
Basi usitoe hio hela WAACHE WAENDE POLIS MUNGU ATAKUSIMAMIA HILI
SawaIn sha Allah mungu yupo