Sasa na wewe hapo kwa Mzee mlangoni kuna njia au Mazingira yapoje?binti sio mwanafunzi na sina hata mazoea nae mkuu
hapo mkuu kumaliza kesi inamaana niwe nimetoa hiyo laki 2...??
Kwanini mnamwachia mungu vitu ambavyo hats yeye kavitaki?.Mwambie unamuachia Mwenyezi Mungu . Kama ana hofu ya Mungo atastuka na nafasi itamsuta.
hapo kuna njia na watu wengi huwa wanapita tu ila njia yenyewe IPO nyumban kwa huyo mzeeSasa na wewe hapo kwa Mzee mlangoni kuna njia au Mazingira yapoje?
Komaa hamna pesa ya bure kama nafasi yako unajua ipo safi na huna ukware maeneo hayo.
Watu hawajui kuwa kwa mungu mbali.Kwanini mnamwachia mungu vitu ambavyo hats yeye kavitaki?.
Usitoe pesa hapo, karipoti kituo cha police haraka na kama binti kakataa na yupo tayari kumkana daima mzee nendeni kisheria tu.hapo kuna njia na watu wengi huwa wanapita tu ila njia yenyewe IPO nyumban kwa huyo mzee
Usitoe pesa hapo, karipoti kituo cha police haraka na kama binti kakataa na yupo tayari kumkana daima mzee nendeni kisheria tu.
sawa mkuu ngoja niendelee kukaza nione mwisho wake mzee anazinguaUSITOE PESA KWA NAMNA YOYOTE ILE, UKITOA PESA MAANA YAKE UMEKUBALI/UMEKIRI KWAMBA UMETENDA KOSA
Toa hela ww,umekula kitumbua cha watu halafu unakataa kutoa mpungasawa mkuu ngoja niendelee kukaza nione mwisho wake mzee anazingua
mkuu usinihukumu sijafanya hicho kituToa hela ww,umekula kitumbua cha watu halafu unakataa kutoa mpunga
Usiku ule ulikuwa unafanya nn kwa baba mwenye nyumbamkuu usinihukumu sijafanya hicho kitu
AkhuyFanyianeni Mubahala ( kiapo cha maangamizi dhidi ya muongo ) huyo Mzee atakuwa kazeeka vibaya
Jamaa hapo inabidi ajitakase kwa kufanya hivyo maana huwenda baadhi ya watu wakachukulia kuwa ni kweli alafu akawa anachukuliwa kama mtu muovu kwenye jamii unajua kuchaliwa ni rahisi lakini kumtakasa ni shidaAkhuy
Mubaahala kwa style hii ya Ujinga uliokubuhu
ni Maangamivu
Hakuna haja ya kufanya Mubaahala
بارك الله فيك
Laki mbili amtafune tu sema iwe ndio mahariWe mpe hiyo hiyo laki mbili halafu mtafune kweli kufidia
kwanza binti analipa?
kama analipa toa hizo 200k beba binti