Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Imagine tu mtu unaishi milele na milele hakuna mwisho maisha yangekuwaje? ,
Yaani unazaliwa na kuishi, bila kitu chochote we kila siku ni kuamka na kupambambania maisha ni nini hii kitu ingekuwa michosho,
Naamini kuna binadamu lazima wangetafuta namna nyingine ya kupumzika.
Kufa ni pumziko, tunaona maisha matamu ni kwa sababu kuna kifo.
Bila kifo maisha yangekuwa hayana maana yeyote.
Ni heri kufa kuliko kuishi milele pasipokuwa na Mwisho.
Cc Zero IQ.