Kushuka thamani ya shilingi, angalia itv leo saa 3 usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushuka thamani ya shilingi, angalia itv leo saa 3 usiku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sambega, Nov 3, 2011.

 1. S

  Sambega Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Kuna muda leo US$1 ilikuwa inanunuliwa kwa 1820Tsh.
  Hali hii si nzuri kwa mustakabali wa taifa letu watanzania,pamoja na watanzania kupiga kelele zoooote kwa serikali lakini ndo kwanza JK anakwea pipa kwenda zake mbelembele huko tena kwa kubadili pesa yetu kuwa dola ili aweze kusafiri.

  Je, BOT hawana hifadhi ya dola? Hawakuwahi kutunza hata almasi na dhahabu ili katika kipindi kigumu cha kupolomoka kwa shilingi BoT wauze hayo madini ili kupata hizo dola na hatimaye shilingi yetu kuimarika jamani?

  Kama unaweza kuwa na mchango mzuri wa kuokoa thamani ya shilingi yetu bali karibu ITV leo saa tatu usiku utoe mchango wako katika malumbano ya hoja, au angalia kipindi kisha utoe maoni yako.
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Zitto kabwe aliwahi kuwaonya kuwa wazingatie financial principle ya kwamba" Do not place all the available eggs into one bucket as all may get broken at once", Diversifaction of resources is the contemporary approach" Sasa yamefika wapi??? mayai yote yamevunjika hakuna mwisho tutakosa hata la dawa.
  Inji hii haina watalaam makini, walio makini hawapo serikalini waliogopa mishahara kiduchu, miaka nenda rudi wahitimu makini wanakimbilia ajira kwenye international firms kama PWC, E& Young n.k.Wabongo kazi mnayo mimi mwenzenu niliamua kuingia kwenye kilimo cha kutegemea mvua kuna miaka napata sana na miaka nakosa sana lakini sina pressure, mwaka huu nina mpunga kibao nasubiri bei ipande niwapandilie huko mijini mtanikoma bila shs.4000 kwa kilo hupati mchele.Kudadadadadekiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jumuiya ya watanzania waishio Australia last week waliisifu hii serikali na rais Kikwete kwa kukuza uchumi ambao unakuwa kwa kasi ya kupaa. Sasa hii imekaaje?
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wanafiki wakubwa sana hao, kama wanatamani kasi ya uchumi wa Tz inavyopaa si warudi waishi tz basi.
   
 5. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  JK anadola nyingi haoni shida ya kuzuia kushuka kwa shilingi!! Acha ishuke tumesema sana lakini madhara yakitokea na kila mmoja akajionea, somo litaeleweka pengine wengi watakuwa tayari kufanya lolote siku zijazo.
   
Loading...