Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Haijashushwa bali ndiyo bei yake. Makondakta huwa wanakata sh 500 kwa kuwa
kuna usumbufu wa kurudisha chenji ya sh 50, lakini kila unakotozwa sh 500
elewa kuwa umeibiwa sh 50. Habari ndo hiyo...
Lo! Sikutegemea