Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Leo nimepanda daladala kutoka ninakoishi ambapo kwa kawaida huwa tunatozwa nauli ya 500 lakini leo nimetozwa 450 na baada ya kuliza na kufanya kautafiti kadogo nikaambiwa kwamba nauli imeshushwa jijini dar kuanzia leo,
Wana JF wenye taarifa sahihi tafadhar
Wana JF wenye taarifa sahihi tafadhar