Kushuka Kwa Kiwango cha Ufaulu Tatizo ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushuka Kwa Kiwango cha Ufaulu Tatizo ni nini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Pelekaroho, Aug 13, 2011.

 1. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Ninaangalia kipindi cha TBC, kushuka kwa kiwango cha ufaulu tatizo ni nini? wapo Singida huko sijui ni Wilaya gani katika shule za sekondari Changa na Koro, shule ina wanafunzi watatu wa kidato cha nne, watoto hawajawahi kusoma physics wala mathematics kwa muda wote waliokuwepo hapo shuleni, waalimu wenyewe sio qualified, discussion wanafanya kwa lugha zao(vernacular) pamoja na kiswahili kuja kufanya mitihani ya kidato cha nne iliyoandaliwa kwa Kiingereza! very discouraging, Haya ndo maendeleo waliyoyachagua tume ya uchaguzi, sijui tutegemee nn miaka kumi ijayo, TAFAKARI CHUKUA HATUA
   
 2. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Matatizo yako mengi ila kubwa na muhimu ni serikali kuingiza siasa kwenye elimu.
   
 3. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kamwe sitamshauri mtu kusoma shule ya sekondari ya serikali.Ni wizi mtupu,wazazi wanapoteza kidogo walicho nacho .
   
 4. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  sio wote wanaosoma serikalini wanapenda kusoma huko....ts jus they have no choice...labda umpe mtu huyo material support ili akasome private kama ulivyosoma wewe.
   
 5. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  tuko kwenye mfumo mpya wa elimu unaoitwa competency based approach ambapo mwanafunzi anatakiwa apate ujuzi kwenye mambo mbalimbali ya maisha,mwl anabaki kuwa mfanisi wa kujifunza.Sijui kama huo ndo muhama wa ruaza
   
 6. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  elimu ya tanzania pumba tupu laiti watoto wa maskin wangepata shule za boardng ka za St st mambo yangekuwa gud Bt shule za kata du
   
 7. S

  Simcaesor Senior Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza wanafunzi wa sasa hawasomi usharobaro umewazidi, pili, walimu wa sasa hawana tofauti na rahisi wao yani hawako makini, tatu vitabu hakuna mashuleni, nne tuwe na uzazi wa mpango mwisho tujue, tuwajuklishe, tuwajuze wanetu umuhimu wa elimu na pia tuwe wazalendo
   
 8. HT

  HT JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  warudishe vitabu vya zamani. Vya siku hizi zero kabisa.
  I miss u Juma na Roza... Mr. And Mrs Daudi, Musa na Baraka....it was sooo nice manenge mbakizie uji basi mandawa! Old good days :)
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Haya nayo yanachangia au?
   
Loading...