Kushuhudia mazishi yako ndotoni

Kushuhudia mazishi yako ndotoni

Mkuu twamby namna ya kuzuia ili isitokee Mshana Jr
Kuzuia kabisa ndoto za kuona mazishi yako mwenyewe, unapaswa kushughulikia sababu za kisaikolojia (kama msongo wa mawazo na hofu) na kuchukua hatua madhubuti za kiroho kabla ya kulala. Ndoto hii mara nyingi haimaanishi kifo cha kimwili; badala yake inaashiria mwisho wa hatua fulani ya maisha, hofu ya kushindwa, au mashambulizi ya kiroho yanayolenga kukatisha tamaa na kufunga mafanikio yako
 
Hapa kuna ishara 5 kuu za kiuchawi na kiulimwengu wa giza zinazoonyesha kuwa ndoto ya kushuhudia mazishi yako ishaanza kujidhihirisha kwenye maisha yako ya kila siku:

1. Kufa kwa Fursa na Biashara (Kifungo cha Nyota)Kukauka Ghafla:
Biashara au miradi iliyokuwa inaleta faida inakufa ghafla bila sababu ya msingi.

Kukataliwa Kusiko kawaida: Unakosa kazi au dili ambazo ulikuwa na vigezo vyote, na watu wanakugeuka ghafla.

Pesa ya Miffuko Inayovuja: Pesa inaingia lakini inapotea kwenye matatizo yasiyoeleweka badala ya maendeleo.

2. Magonjwa Yasiyopimika HospitaliVipimo Safi:

Unajisikia mgonjwa sana (maumivu ya mwili, kichwa, au mgongo), lakini ukienda hospitali vipimo vinaonyesha huna ugonjwa wowote.

Uchovu wa Ajabu: Kuamka ukiwa umechoka sana asubuhi, kana kwamba ulikuwa unalima au kupigwa usiku kucha.

3. Kupoteza Kumbukumbu na Kuchanganyikiwa (Akili Kufungwa)Ukungu wa Akili:

Unashindwa kufanya maamuzi sahihi na unajikuta unafanya makosa makubwa ya kijinga.

Kusahau Ghafla: Unasahau mambo muhimu sana yanayohusu maendeleo yako, kiasi cha kuonekana uzembe kwa watu wengine.

4. Mikosi na Vibali Kupotea (Kuhisi Kama Maiti)Watu Kukukimbia:

Watu waliokuwa wanakupenda au kukusaidia wanaanza kukuchukia au kukwepa bila sababu.

Harufu ya Kiroho ya "Kukataliwa": Unajiona huna thamani mbele ya jamii, na kila unachojaribu kukifanya kinaishia kwenye aibu au lawama.

5. Kuhisi Uwepo wa Kitu Karibu YakoMacho ya Giza:
Kuhisi kama kuna mtu anakuangalia au kukufuata nyuma, hasa ukiwa peke yako au nyakati za usiku.

Upepo wa Ghafla au Sauti: Kusikia sauti zikiita jina lako kwa mbali au kuhisi baridi ya ghafla isiyo ya kawaida chumbani kwako.
mzee wangu naomba maelezo kidogo kwene hio namba nne
 
Mwaka 2023, niliota ndoto hiyo ya kushuhudia mazishi yangu. Hii ndoto niliota ck mbili tofauti. Siku ya kwanza niliota nazikwa, ghafla mtu mmoja akaja akasema mbona huyu hajafa, wale waliokuwa wananizika wakakimbia. Siku nyingine nikaota tena wananizika, na awamu hii walinizika kabisa. Na mara zote niliamka usingizini nikiwa na hofu kubwa mno. Nimejaribu kuwashirikisha watu wakubwa juu ya tafsiri ya ndoto hii nikaishia kupata jibu moja kuwa ndoto hiyo iliashiria kufungwa kivuli chako, nikaambiwa nisahau kuhusu mafaniko kama sijafungua hicho kifungo. Mana kivuli na nyota yangu vimefungwa.

Nakiri kabisa toka moyoni. Tangu huo mwaka mpaka hii 2026, sina chochote. Nimepoteza kila kitu. Saizi nimebaki kukosana tu na ndugu zangu. Napoteza pesa kizembe sana alafu situmii pombe wala sina starehe yoyote au wanawake sihongi, nina mwanamke kanivumilia miaka sita sasa. Nikitaka nimwoe nawaza nitamlisha nini mimi, mwisho aanze kuchepuka kwenye ndoa. Naogopa.

Nimekuwa nikipoteza kumbukumbu sanaa. Hadi nikiota ndoto naamka sikumbuki chochote. Zanani nilikuwa naota ndogo na nakumbuka zote hata kama n tatu kwa siku. 90% nilikuwa naota matukio ya kweli yaliyokuwa yananitokea mimi.

Kifupi mimi nimepoteza kabisa tumaini la maisha. Nina miaka 31, sina uwanja wala tofali. Nahangaika sana na haya maisha hadi nimechoka. Kazi naomba nakosa wanapata niliowazid had elimu na sifa za kazi. Looo Mungu anisaidie mimi jamani.
 
K

Kama kuna mtu anaweza kunitolea hii mikosi jamani anisaidie. Nimejichokea sanaaa.
 
Mshana Jr kuoga imekufa na watu wanalia hatari,unaogeshwa maiti,wamekuweka kwenye jeneza na wamekubeba kupeleka makaburini,unaingizwa kaburini unashtuka,

Inakuwaje hii.
 
Ndoto zote za kuota umekufa, upo kwenye jeneza, unaoshwa huwa hazina mwisho mzuri kwa muotaji, kiafya, kiuchumi na maisha kwa ujumla, na dalili utaanza kuziona mapema au utapata pigo la ghafla bila kuona dalili.

Kuna mtu aliwahi kuota ndoto ya namna hiyo, alikuja kupata ajali na kumpa ulemavu, hajakaa sawa hadi sasa.

Ukiota ndoto ya namna hiyo, chukua hatua za haraka kushughulikia kiroho.
 
Back
Top Bottom