Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,232
- 62,394
Ukishughulisha akili mara kwa mara, kunapunguza kuzeeka kwa haraka. Kwa wale wanaotumia muda mwingi kusoma soma vitabu mbalimbali, habari mbali mbali mitandaoni, kuandika vitabu, kufanya tafiti mbali mbali, kutumia muda mwingi kufikiri, kufundisha wanafunzi n.k huwa hawazeeki haraka.
Kwa mantiki hiyo, kama hutaki kuzeeka haraka; tunatakiwa tushughulishe akili zetu; tenga hata muda, kwa siku usome angalau kurasa tano tu za kitabu n.k. Baada ya hapo makunyanzi yatachelewa kuja.
Kwa mantiki hiyo, kama hutaki kuzeeka haraka; tunatakiwa tushughulishe akili zetu; tenga hata muda, kwa siku usome angalau kurasa tano tu za kitabu n.k. Baada ya hapo makunyanzi yatachelewa kuja.