Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 1,606 Reaction score 2,851 Sep 29, 2026 #1 Hellow Great Thinker... The LORD is good... Kuna ndoto ukiota ukiamka unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kuna kuwa na uhusiano gani kati ya ndoto na mapigo ya moyo baada ya kushituka kutoka usingizini... ...
Hellow Great Thinker... The LORD is good... Kuna ndoto ukiota ukiamka unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kuna kuwa na uhusiano gani kati ya ndoto na mapigo ya moyo baada ya kushituka kutoka usingizini... ...
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,354 Reaction score 2,606 Sep 30, 2026 #2 Kwanza unapaswa utambue ndoto ile ni ya aina gan ya M-ngu, shetani, au ya akili. Ndo ujue uhusiano uliopo.
Kwanza unapaswa utambue ndoto ile ni ya aina gan ya M-ngu, shetani, au ya akili. Ndo ujue uhusiano uliopo.
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,354 Reaction score 2,606 Sep 30, 2026 #3 Ubongo unapokuwa unajipa wenyewe wasiwasi unafanya damu iende kwa kasi kwenye moyo ndo maana ukija kuamka mapigo yapo juu kama jenereta
Ubongo unapokuwa unajipa wenyewe wasiwasi unafanya damu iende kwa kasi kwenye moyo ndo maana ukija kuamka mapigo yapo juu kama jenereta
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 1,606 Reaction score 2,851 Sep 30, 2026 Thread starter #4 Matunzo 02 said: Kwanza unapaswa utambue ndoto ile ni ya aina gan ya M-ngu, shetani, au ya akili. Ndo ujue uhusiano uliopo. Click to expand... asante mkuu... Ila mara nyingi hua napata za ki unabii nabii mkuu
Matunzo 02 said: Kwanza unapaswa utambue ndoto ile ni ya aina gan ya M-ngu, shetani, au ya akili. Ndo ujue uhusiano uliopo. Click to expand... asante mkuu... Ila mara nyingi hua napata za ki unabii nabii mkuu
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,354 Reaction score 2,606 Sep 30, 2026 #5 Psalm_23 said: asante mkuu... Ila mara nyingi hua napata za ki unabii nabii mkuu Click to expand... huwa zinatimia?
Psalm_23 said: asante mkuu... Ila mara nyingi hua napata za ki unabii nabii mkuu Click to expand... huwa zinatimia?
Psalm_23 JF-Expert Member Joined Aug 18, 2026 Posts 1,606 Reaction score 2,851 Sep 30, 2026 Thread starter #6 Matunzo 02 said: huwa zinatimia? Click to expand... Moja imetimia kama nilivyoiota, ngoja nikipata mda nitakutag..
Matunzo 02 said: huwa zinatimia? Click to expand... Moja imetimia kama nilivyoiota, ngoja nikipata mda nitakutag..