Kushindwa kwenda Nairobi hadi sasa kwa viongozi wengi wa CCM na Serikali kunatoa picha gani kwa umoja wa Kitaifa?

Dah.... Hivi kung'oa mizizi ya kifisadi.....kuwajibisha wazembe na wala rushwa...kuwatimulia mbali wezi wa Mali ya umma.....kula kwa jasho ni jambo baya?
Mlizoeya kupiga bila jasho sasa mnatapatapa....na kwa taarifa yenu hili sio la CCM...ila ni LA watanzania wenye nia njema ya dhati na nchi hii... Tulionewa kiasi cha kutosha......Tukapuuzwa mno.....Tukaibiwa sana tu.... Sasa ni zamu ya wachapakazi na wanyonge

Duh!kweli picha inajieleza!!!!!!!!!!
 
Kwani wabunge wa chadema wameenda wote kuwa na akili uandikapo
Kwani kuna Mbunge hata mmoja tokea CCM aliyekanyaga Nairobi zaidi ya Nyalandu aliyewaachia vumbi. Mmejawa na roho mbaya utafikiri mna Mungu mwingine.Aibu imewajaa!!
 
Hivi CCM hasa wabunge mnamjua Mungu? Mnajua kua kuna kufa ninyi?
Ninyi ndio mnahubiri umoja kwa watanzania kweli? Hamuogopi kusema uongo ninyi?

Yaani amepigwa risasi mwanasiasa Mbunge Tundu LISSU mmeshidwa kwenda kumuona Nairobi tu Kenya hapo? Wabunge wote mliofanya kazi na LISSU mpo tu mwenzenu yuko mahututi mmekaa mnacheka huku mkinywa juice mmekaa tuu! Aisee CCM huu sio utu ni unyama kabisa.

Jana nilimsikia Mwenyekiti wa chama akisema watanzania tuungane tuwe kitu kimoja? Mmeshindwa kwenda Kenya tu kumwona LISSU akiwa mahutti mnatuhubiria mshikamano upi? Hivi mnafikiri wapenzi na wafusi wa Mh LISSU watashikamana na ninyi lini!

Hamna uwezo wa kuunganisha watanzania, mmeanza kuwabagua kwa kauli zenu. Wabomolewe majumba yao wakazi wa mahali pengine pengine lskini wale wa mkoa wa mwanza sheria iwe na ubinadamu kwao?
Acha ujinga wewe! Cuf wameenda? Wapi kwenye katiba imeandikwa walitakiwa waende??
 
Mimi ni msomaji wa maandiko na katika kusoma kwangu kuna mistari inasema siku ya ufufuo kila mtu atapata stahiki zake za ubaya na uzuri wake

Kuna pale wabaya watakapokuwa wakisomewa mashtaka yao mbele za Mungu. Kuna kipande kinasema nilikuwa mgonjwa wala hamkuja kunitazama. Nao wabaya watamuliza ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa na hatukuja kukutazama? Nae atawajibu yote mliyowatendea binadamu walio wangu mlinitendea mimi

Lisu ni mgonjwa tena wa kupigwa risasi karibu kufa alihitaji kufarijiwa huyu na kila mmoja wetu pale alipolazwa lakini sijui kama kuna kada yeyote wa ccm alifika kumjulia hali
 
Mimi ni msomaji wa maandiko na katika kusoma kwangu kuna mistari inasema siku ya ufufuo kila mtu atapata stahiki zake za ubaya na uzuri wake

Kuna pale wabaya watakapokuwa wakisomewa mashtaka yao mbele za Mungu
Kuna kipande kinasema nilikuwa mgonjwa wala hamkuja kunitazama
Nao wabaya watamuliza ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa na hatukuja kukutazama?
Nae atawajibu yote mliyowatendea binadamu walio wangu mlinitendea mimi

Lisu ni mgonjwa tena wa kupigwa risasi karibu kufa alihitaji kufarijiwa huyu na kila mmoja wetu pale alipolazwa lakini sijui kama kuna kada yeyote wa ccm alifika kumjulia hali
Nadhani wewe utakuwa moja ya watu wenye matatizo kichwani, hatuna dawa nyingine zaidi ya kukusubiri ufe tu.
 
Sitta alivyoenda India kwani kuna viongozi walienda kumuona

Kikwete alivyoenda kutibiwa USA kuna viongozi walienda kumuona

Kwann alikataa kutibiwa nyumbani..

Mbona magufuli alimtembelea sumaye alivyougua ,major jenerali na wengi tu

Kupoteza resources kwenda Kenya wakati hapa nyumbani angetibiwa bure na kutembelewa
UMENIWAHI MKUU NILITAKA NISEME HIYO POINT.BIG UP
 
Sitta alivyoenda India kwani kuna viongozi walienda kumuona

Kikwete alivyoenda kutibiwa USA kuna viongozi walienda kumuona

Kwann alikataa kutibiwa nyumbani..

Mbona magufuli alimtembelea sumaye alivyougua ,major jenerali na wengi tu

Kupoteza resources kwenda Kenya wakati hapa nyumbani angetibiwa bure na kutembelewa

Hao ulio wataja walimiminiwa risasi na watu wasiojulikana?
 
Tulikuzwa na kulelewa kuwa Tanzania ni yetu sote na kwamba Tanzania ni moja na sisi ni ndugu, tulikuzwa katika kuondoa tofauti zetu na kusameana wakati wa shida na raha.

Leo imekuwaje tukio la kuugua mwenzetu Nairobi wafanyakazi wenzake wameshindwa kwenda kumjulia hali?Viongozi wa kitaifa wakiwemo wastaafu mmeshindwa kweli kufika Nairobi hadi Leo?

Endapo baba au mlezi akijitenga na mwanaye hasa kwenye matatizo inaleta picha gani kwa ustawi wa familia husika?

Nijuavyo ugonjwa hauna dini,kabila,ukanda,rangi wala itikadi. Mkishindwa katika hili na mkae kimya katika yote.....
Hivi unaendaje kwenye kumuona mtu ambae wewe ndo unaeshutumiwa kusababisha ugonjwa wake. Ina maana likitokea lolote utaambiwa ndo ulienda kummalizia. Mi nadhani tatizo lime anzia upande wa pili. Tabia ya kufanya siasa kwenye kila kitu ndo imetufikisha hapa.
 
Back
Top Bottom