Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Failure namba moja. Kabla hata Bunge halijaanza rasmi.
Makinda alishindwa kuepusha Rais wake kuaibika mbele ya Watanzania. Alishindwa kuwashawishi Chadema wasimuaibishe Rais wake.
Spika gani? Kama angekuwa Sita mimi ninaamini angewaita Chadema na kuwaweka sawa. Wasingetoka. Lakini Mrs. Jaziba/Hasira yeye alikuwa akitwita bila msaada wowote. Rais wake akaaibika. Anapanga cha 'kuwafanyizia' bunge litakapoanza. Atarajiwe kushindwa. Kuaibika!
Nchi za wenzetu, Makinda angeachia ngazi mwenyewe. Amechangia 50% ya kumuaibisha Rais wake.
Kwa sababu kwa kushindwa kwake kuwashawishi Chadema kidemokrasia, nasema kidemokrasia. ni total failure kwa mtu anayejitapa kuwa anauzoefu na mambo ya Bunge.
(Jamani joto limeanza Dar).
Ha! kumbe rais wake!!
Ntemi KazwileSasa wewe Ng'wanangwa hicho ki-laptop kweli kitastamili hilo jinundo au umekichoka? Pole na joto hamia kwetu Njombe sie tunatesa na makoti yetu.
Huyu maza namheti kama fisadi yo yote nikikumbuka historia yake huko nyuma jinsi anavyokumbatia mafisadi. I declare to hate her for reasons licha ya ile ban nilkula kwa kumtusi.
Inafact hana uwezo wa kufikiri vile maana anawachukia CHadema na anawaogopa . Mwisho wa siku anasahau kuwa ulikuwa wajibu wake kuweka mambo sawa. Huko baadae utaona jinsi atakavyotekeleza matwakwa ya mafisadi ili kurudisha zile hela alizopewa ili agombee uspika akikwepa techinical issues za bunge na hapo ndipo atatambua Lisu na wenzake ni kina nani.
Sasa wewe Ng'wanangwa hicho ki-laptop kweli kitastamili hilo jinundo au umekichoka? Pole na joto hamia kwetu Njombe sie tunatesa na makoti yetu.