Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Failure namba moja. Kabla hata Bunge halijaanza rasmi.
Makinda alishindwa kuepusha Rais wake kuaibika mbele ya Watanzania. Alishindwa kuwashawishi Chadema wasimuaibishe Rais wake.
Spika gani? Kama angekuwa Sita mimi ninaamini angewaita Chadema na kuwaweka sawa. Wasingetoka. Lakini Mrs. Jaziba/Hasira yeye alikuwa akitwita bila msaada wowote. Rais wake akaaibika. Anapanga cha 'kuwafanyizia' bunge litakapoanza. Atarajiwe kushindwa. Kuaibika!
Nchi za wenzetu, Makinda angeachia ngazi mwenyewe. Amechangia 50% ya kumuaibisha Rais wake.
Kwa sababu kwa kushindwa kwake kuwashawishi Chadema kidemokrasia, nasema kidemokrasia. ni total failure kwa mtu anayejitapa kuwa anauzoefu na mambo ya Bunge.
(Jamani joto limeanza Dar).