Kushindana na CHADEMA ni kushindana na Wakati

Lissu ubabaishaji Hana, siasa za maigizo Hana...mungu amlinde Sana huyu jembe
Mbowe ndo alikuwa na siasa za ubabaishaji?, Alikuwa na siasa za maigizo?
Chadema imeshabadilika siyo Ile aliyoijenga Mbowe zaidi ya miaka 20.
Miezi saba tuu ya Lissu mnaowasema eti wasaliti G55 wamejitoa kwenye chama.
Wakati wa mbowe chama kilikuwa hakina mgawanyiko Ila sasa hamko wamoja.
Chadema haijabaki chadema.
 
Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".

Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.

Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.

Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.

Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.

Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.

Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.

Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.

Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.

Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.

Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.

Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.

Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.

Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.

Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.

Hebu lisikilizeni na linyumbu hili nalo, pumbavu kweli.
 
Braza utagawana mbao na shemeji huku CDM ikiendelea kupeta tu kama masikhara. Dhahabu lazima ipite kwa moto.

Sawa kamanda ,kujipa moyo ni muhimu sana....kwasisi tulioifatilia CDM tangia enzi za Kabour ,hii ya sasa wamefikia kiwango cha juu cha kutibuana!! Pia fikiria vyama kama CUF ngunguli na NCCR ya Mrema na Mabere marondo.
 
Kama ulikuwepo enzi za M1, M2, takriban miaka 10 iliyopita wapo waliosema unayosema leo kawaulize.

Ile ilikuwa ndogo sana mkuu M1 ,M2 kina mwigamba ,kina mkumbo hauwezi kulinganisha na hii ,hii watu wanagawana mbao ,mpaka kufikia kwamba team mbowe wote wafukuzwe ,wanachama wanazuia hadi accounts siyo ya kupuuza.
 
Sawa kamanda ,kujipa moyo ni muhimu sana....kwasisi tulioifatilia CDM tangia enzi za Kabour ,hii ya sasa wamefikia kiwango cha juu cha kutibuana!! Pia fikiria vyama kama CUF ngunguli na NCCR ya Mrema na Mabere marondo.
Sawa, kumbe umekariri kuwa walikopita CUF ya Lipumba na NCCR ya Mrema ndiko kila chama kinatakiwa kupitia. Usikariri maisha.
 
CHADEMA ya Lissu na Heche?
imekufa kifo cha mende.
Watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba.......
 
Ile ilikuwa ndogo sana mkuu M1 ,M2 kina mwigamba ,kina mkumbo hauwezi kulinganisha na hii ,hii watu wanagawana mbao ,mpaka kufikia kwamba team mbowe wote wafukuzwe ,wanachama wanazuia hadi accounts siyo ya kupuuza.
Kuzuia akaunti ndilo kubwa kwako, leo makamanda wako field huko Kagera Kanda ya Victoria mkuu achana na press conference za hotelini, wape mwezi mmoja hutawasikia tena uzuri wanajitoa wenyewe.
 
NCCR na CUF zilikuwa na nguvu kuliko Chadema
 
Nyerere aliwahi kusema "Ukiniuliza chama chenye sera Makini na watu Makini kuliko vyama vingine nitakuambia CHADEMA".

Mwaka 2019 enzi za Mwendazake niliwahi kuandika uzi unaosema "Chadema itabaki kuwa Chadema" wengi hawakunielewa, kama utakuwa na muda pitia Uzi hapo chini.

Tangu kuanzishwa kwake Chadema imepitia misukosuko mingi, Dola imetumia nguvu kubwa na mbinu nyingi kuiua lkn imeshindikana.

Dola imemtumia Msajili wa Vyama vya siasa ameshindwa.

Ilimtumia Zitto na kundi lake la kina Kitila, Kafulila wakashindwa.

Dola imewatumia COVID 19 imeshindwa.

Dola inautumia muungano wa vyama mamluki wa siasa lakini imeshindwa.

Dola ilimtuma Lowassa na Sumaye ikashindwa.

Dola ikamtumia Dr. Slaa ikashindwa.

Dola ilijaribu kutumia mbinu ya ruzuku imeshindwa.

Dola inatumia vitisho, kuua viongozi, kuwakamata kuwatesa na kuwabambikia kesi viongozi wake lkn imeshindwa.

Angalau kidogo kundi la kina Zitto lilikuwa organized kuliko hili la Mrema ambalo linaendeshwa na tamaa ya madaraka maslahi bila hoja za msingi.

Kwa sasa Chadema imekomaa imekuwa tumaini la wengi baada ya Chama cha Mapindizi kushindwa kukidhi matarajio yao kwa zaidi ya miaka 60 sasa.

Dola hamtakuja kuiua Chadema kama NCCR Mageuzi na CUF, NEVER.

Kuna siku CHADEMA itashinda uchaguzi itaongoza Dola 'Mark my Words'.

Bado kitambo kidogo sana.
 
Na wakati ni Ukuta
 
Sawa, kumbe umekariri kuwa walikopita CUF ya Lipumba na NCCR ya Mrema ndiko kila chama kinatakiwa kupitia. Usikariri maisha.
Siyo kila chama inatakiwa kipite ,ni chama ambacho kwa wakati huo kitakuwa na ushindani na SISIEMU.
 
Back
Top Bottom