Hakuna Ndoa Hapo Baadaye Utaleta Mrejesho, Rafiki Yako Bado Tu Anangoja AmbulanceWakubwa;shikamoo
Wadogo;marhaba
Niende kwenye mada,
Ugomvi,migogoro ni sehemu ya maisha yetu wanadamu, yani hii changamoto haiwezi kukwepeka kwenye maisha yetu, je unaweza kukabiliana vipi kipindi cha ugomvi,?
Ni sahihi wakati wa ugomvi kutumia silaha zinazoweza kupelekea kuhatarisha maisha? Huu ni ujinga wa mtu kushindwa kujidhibiti wakati wa hasira.
Kuna Dada ambaye ni mdogo wake na rafiki yangu, huyu msichana kaolewa na ndoa kabisa,
Jana ilitokea kutokuelewana na mumewe hali iliyopelekea kuchukua kisu kutaka kumchoma mwenzie yani ugomvi ulikuwa mkubwa mpaka ndugu walipokuja kusuluhisha.
Nimekaa nikajiuliza unawezaje kumshikia mwenzio silaa tena unaependana nae? Uaminifu baina yenu utaendelea ?
Anangoja Ambulance Ikamchukue Akiwa Siyo YuleMpaka dakika hii bado hujaondoka🤦
Itakua Sikio la kufa..acha imnyeshee😣🙌Anangoja Ambulance Ikamchukue Akiwa Siyo Yule
Hakuna Ndoa, Manyunyu Hayo Anaingoja Mvua Yenye Radi Inyeshe
Hao upendo ushaisha bana imebaki mazoea tu..hakuna ndoa hapo siku watakuja kuuana kweli.Wakubwa;shikamoo
Wadogo;marhaba
Niende kwenye mada,
Ugomvi,migogoro ni sehemu ya maisha yetu wanadamu, yani hii changamoto haiwezi kukwepeka kwenye maisha yetu, je unaweza kukabiliana vipi kipindi cha ugomvi,?
Ni sahihi wakati wa ugomvi kutumia silaha zinazoweza kupelekea kuhatarisha maisha? Huu ni ujinga wa mtu kushindwa kujidhibiti wakati wa hasira.
Kuna Dada ambaye ni mdogo wake na rafiki yangu, huyu msichana kaolewa na ndoa kabisa,
Jana ilitokea kutokuelewana na mumewe hali iliyopelekea kuchukua kisu kutaka kumchoma mwenzie yani ugomvi ulikuwa mkubwa mpaka ndugu walipokuja kusuluhisha.
Nimekaa nikajiuliza unawezaje kumshikia mwenzio silaa tena unaependana nae? Uaminifu baina yenu utaendelea ?
Kabisa Kiongozi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
Roho mkononi panga begani hao ni watu wa intelligence kuna ile movie alicheza Angelina Jolie na aliekua mumewe Brad Pitt Inaitwa Mr & Mrs Smith ukiiangalia utaelewa jambo kuhusu masuala ya ndoa za intelligent people, mkikutana wote vichwa msisimuko kuna wakati mnaweza kunyanyuliana mapanga Ila mmoja akiwa fala bin boya hutaona issue km hizo maana kuna mmoja kakubari kua bwege maandaziNimekaa nikajiuliza unawezaje kumshikia mwenzio silaa tena unaependana nae? Uaminifu baina yenu utaendelea ?
Anangoja Mshenga Wafanye Maridhiano Kwenye NdoaHahaha hatari hii
Watu wa hivo hawafai,Nilishamtolea mahari mwanamke na tulikuwa tunasubiri mambo yakae sawa ila tulipishana kama kiswahili mara mbili, mara ya kwanza nilimzaba kibao cha kawaida, alipoamka kitandani alibeba speaker na nikurushia usoni nikaikwepa ikapasuka, akabeba rice cooker akanirushia nikarusishia mlango ikajibamiza pale ikageuka vipande, nikamfuata akakimbilia nje na kianza kunirushia mawe nikafung mlango, huo ugomvi tutausurihisha ukaisha , mara nyingine tukazinguana akakimbilia tena mawe na kunipiga na moja mguuni plus na matusi mazito , nikamuita mshenga nikafukuzi mbali huyo mwanamke , kesi iliishia serikali ya mtaa akiwa amegoma kuondoka na nauli nikampa hukohuko aje abebe kinachomhusu aondoke ,kuna wanawake wagomvi acha kabisa!! Anaweza kukuua , ugomvi wa silaha ni hatari sana
Kun jamaa yngu nae aliingia cha kike akaoa mwanamke mgomvi, yaani wakizinguana walikuwa wanakingutana mpaka mmoja kati yao azimie ndo ugomvi unaisha, mara zote mwanamke ndo alikuwa anazimishwa ila akishapata ufahamu kazi inaendelea atikutana na panga, shoka, mpini anamdunda na chochote , wazee wakamshauri aachane na huyo mwanamke maana msiba upo njenje kwa hali hii!!