kushidwa ku serve picture wasap

Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
874
662
wakuu simu yangu ina tatizo la kushindwa ku serve picha wasap kwenye profile ya mtu nikibonyesha kwwenye option pale hakuna option hiyo.nime update mala kadhaa lakini wap..naomba kupata msaada wa wataalamu humu jamvini.
 
ni kweli mkuu ila ningependa pia kuwa na sehemu ya ku serve..tafadhali nisaidie katika hilo
Wameshaitoa hio option nadhani hawa whatsapp..hawa whatsapp inabidi waimod ile whatsapp OG walete features za kufa mtu kama wanazotengeneza wahindi i.e GB whatsapp etc
 
Wameshaitoa hio option nadhani hawa whatsapp..hawa whatsapp inabidi waimod ile whatsapp OG walete features za kufa mtu kama wanazotengeneza wahindi i.e GB whatsapp etc
kwa hiyo mkuu niweke ipi??
 
Hiyo mkuu ipo kwenye sheria zao mpya za privacy mzee...(Kama nakumbuka vizuri) kuna hiyo huwezi ku-save profile picture lakini hata ku-forward messages nayo ipo restricted. (Huwezi ku-forward kwa watu wengi kama ilivyokuwaga mwanzoni)

So, hapo option uliyonayo ni kuscreenshot halafu uje ucrop utapata picha yako safi kabisa.
ni kweli mkuu ila ningependa pia kuwa na sehemu ya ku serve..tafadhali nisaidie katika hilo
 
Back
Top Bottom