Kusherehekea Uhuru wa nchi ambayo haipo ni kitu kisichoeleweka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,738
218,327
Nimetafakari sana kuhusiana na sherehe za kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika zinazofanyika tarehe 9 Dec ya kila mwaka sijaelewa maana yake , maana sherehe hizi zinaipaisha nchi ambayo haipo Tanganyika na kuizamisha nchi halisi ya Tanzania ambayo ipo na ambayo siku yake ya kuzaliwa ipo pia .

Unawezaje kusherehekea Birthday ya aliyekufa ama kuuawa ?

Bado sijaelewa .
 
Sio lazima uelewe kila kitu.
 
Mkuu, umeniwahi. Nilikuwa najiuliza, Uhuru unaosheherekewa ni wa nchi gani? Kama ni Tanzania, haijawahi kutawaliwa kwakuwa ni muunganiko wa nchi mbili huru. Na kama tunaizungumzia Tanganyika, iko wapi kwenye ramani ya dunia?

Zanzibar, wanaposheherekea mapinduzi yao, ni kwasababu Zanzibar bado ipo na ina SMZ. Jana nilisikia jamaa anasema, "Tanganyika watuache sisi twende CAF"

Kama vipi tuambiwe tu kuwa tuna TATU BOMBA!
 
Kwenye hotuba zao nasikia wakitaja eti uhuru wa Tanzania bara .
 
Hiyo sherehe ni kama kumbukumbu.
Hata binadamu aliyekwisha kufa 'marehemu' hukumbukwa, na kuswaliwa
 
si sawa na kukimbiza mwenge uangaze na kuleta mwanga badala yake unaleta giza kwani miradi mingi inazinduliwa kwenye mbio za mwenge 97% inakufa mapema kwa kukosa ubora
 
SUBIRI MATUSI KUTOKA CHAMA CHA MASHETANI WANAOADHIMISHA MATAMBIKO YAO THEN WANAJIFICHA HUKO KWENYE KIVULI CHA UHURU.
 
Haha Tanganyika ilikufa 1964
 
si sawa na kukimbiza mwenge uangaze na kuleta mwanga badala yake unaleta giza kwani miradi mingi inazinduliwa kwenye mbio za mwenge 97% inakufa mapema kwa kukosa ubora
MKUU WANAPOSEMA MWENGE UNAZINDUA,ALIZINDIKA NANI NA LINU MRADI HUSIKA ULIZINDIKWA HADI MWENZE UFIKE KUZINDUA?
MANENO kuzindika na kuzinua ni ya kishetani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…