Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,349
- 217,391
Nimetafakari sana kuhusiana na sherehe za kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika zinazofanyika tarehe 9 Dec ya kila mwaka sijaelewa maana yake , maana sherehe hizi zinaipaisha nchi ambayo haipo Tanganyika na kuizamisha nchi halisi ya Tanzania ambayo ipo na ambayo siku yake ya kuzaliwa ipo pia .
Unawezaje kusherehekea Birthday ya aliyekufa ama kuuawa ?
Bado sijaelewa .
Unawezaje kusherehekea Birthday ya aliyekufa ama kuuawa ?
Bado sijaelewa .