Kushare files, windows phone to pc

Kushare files, windows phone to pc

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357

​
Nina simu NOKIA LUMIA 630, inanipa shida sana nikitaka kuhamisha picha au document yoyote toka simu kwenda PC au PC kwenda phone. Naomba kunisaidia niweze kutumia hii simu vizuri, pia network yake hii simu ni majanga. Napata E, H na H+, ila haitulii, nataka nipate G, H au H+.
 
kaka simu yako ina mass storage ukiconect na usb basi mafile yako yote yanaonekana kwa pc.

kama una memory card picha zinakaa kwenye folder la pictures na kuna subfolder kama camera roll(picha ulizopiga), saved picture na hata za whatsap zipo humo.

pia simu za wp zinakuja na onedrive ambayo unaweza iset automatic ikawa inazieka picha zako onedrive then download onedrive kwa pc picha zako zitakuwepo kwenye pc kwenye folder la onedrive. ila njia hii inahitaji internet

kaka hizo network ulizozitaji zinarank hivi kwenye speed

G-speed ndogo kabisa
E-speed ndogo
H-speed kubwa
H+ speed kubwa kabisa

hivyo usiombee upate G

kama eneo ulipo signal za H na H+ ni ndogo ukiona imekuja E itumie bila kuishika na mkono, unaweza ieka kitandani/mezani/juu ya kochi ukawa unaitumia kwa kugusa tu.
 
Nashukuru kwa majibu yako, hii onedrive kweli ipo nitajaribu niifanyie kazi, tofauti na hiyo ambayo inahitajia internet naweza vipi kuyaona mafail kwenye pc maana kwenye loal disk nikifungua pc hayo haionekani tofauti na simu zingine inavokua rahisi. Pia mkuu nashindwa kutumia usb cable kama data cable na pc nimezoea tecno natumia tethering.
ila yenyewe wi-fi ipo vizuri tu
pia simu za wp zinakuja na onedrive ambayo unaweza iset automatic ikawa inazieka picha zako onedrive then download onedrive kwa pc picha zako zitakuwepo kwenye pc kwenye folder la onedrive. ila njia hii inahitaji internet

kaka hizo network ulizozitaji zinarank hivi kwenye speed

G-speed ndogo kabisa
E-speed ndogo
H-speed kubwa
H+ speed kubwa kabisa

hivyo usiombee upate G

kama eneo ulipo signal za H na H+ ni ndogo ukiona imekuja E itumie bila kuishika na mkono, unaweza ieka kitandani/mezani/juu ya kochi ukawa unaitumia kwa kugusa tu.
Ahsante, onedrive ipo nitaifanyia kazi. Bila kutumia onedrive naweza kufanyaje kwasababu hiyo onedrive inahitaji inernet, na pia kuitumia kama modem nitafanyaje maana haionekani kwenye local disks ila wi-fi ipo kama kawaida.
 
nenda setting halafu internet sharing kama unataka kutumia simu kama modem
 
Back
Top Bottom