Kushangilia ununuzi wa ndege wakati Tanzania bado kuna shida kubwa ya maji

Oct 24, 2019
14
38
Kushangilia ununuzi wa ndege wakati Tanzania bado kuna shida kubwa ya maji, miundombinu, umeme, ajira na kilimo ni kukosa vipaumbele katika maisha.

Kuna tofauti kubwa kati ya "Think Smart" na "Think Big". Katika maisha ya sasa ni bora wanao kuzomea kuliko wanao kushangilia.

Time will tell.
 
Kushangilia ununuzi wa ndege wakati Tanzania bado kuna shida kubwa ya maji,miundo mbinu,umeme,ajira na kilimo ni kukosa vipaumbele ktk maisha.Kuna tofauti kubwa kati ya "Think Smart" vs "Think Big".Ktk maisha ya sasa ni bora wanao kuzomea kuliko wanao kushangilia.Time will tell
Hauwezi ukaacha kuanza kisa eti hatuwezi kuanza na moja wakati tuna matatizo mengi.
Ni hivi, ndege ndiyo hivyo tena, zimeshanunuliwa tayari na hatuwezi kuzirudisha 'dukani', sasa kwa kuwa siyo zao ni zetu hakuna namna, ilichobaki ni kuendelea kuunga mkonobiashara hii ili tusipate hasara.

Kwa hivyo basi, tuhakikishe tunazitumia sana ndege zetu, pia kila mtanzania pale alipo kwa nafasi yake mfano wafanyakazi wa Shirika wawe royal and committed badala ya kuuza sura, na ninyi wataalamu wa "Think Big" Vs "Think Smart" muendelee kutoa ushauri kwa wataalam na serikali yetu ju ya namna nzuri ya kuliendesha shirika letu bila kupata hasara.
Utaifa ni kushindana kwa mawazo na pale linapopitishwa tusilolipenda basi tushikamane kwa dhaati, maana hata watu watatuona kuwa sisi ni wamoja na ikitokea tukashindwa katika hili basi inakuwa si ngumu kujaribu lile lililoshindwa mwanzo maana kwa kushirikiana pamoja na kuweka tofauti pembeni tayari tumekua tumeungana na kuwa wamoja. Hivyo hapatakuwepo na kulaumiana au kupata hisia za kushindwa.

Hii nchi imejeruhiwa ikajeruhika kweli, natamani nipewe nafasi ya kuiunganisha kuwa nchi moja kubwa ambayo itafaidika na rasilimali inayopatikana katika akili za raia wake wenye mawazo tofauti na kinzani.
 
Anayependa ubaguzi Ni yeye mwenyewe jpm. Refer kwenye mikutano yake ya hadhara anawatukana wapinzani hadharani mbele ya wapiga kura wao harafu eti mnataka ushirikiano, ushirikiano upi? Upinzani nchini umekuwa kama wahaini hata wakiomba kufanya mikutano kutoa mawazo yao police wanakuja na intelligensia zao kuzima mikutano, halafu eti mnataka mawazo yetu, mtayapatia wapi? Wanaoharibu hizi nchi zetu za Africa na hawa viongozi wajunga wajinga kama jpm.
 
Achana na hilo, hilo linaeleweka vizuri sana na ni moja ya mapungufu yake makubwa (tena nadiliki kusema ya hovyo).
Tujikite kwenye hili ulilolianzishia mada. Tuendelee kutoa ushirikiano positive hata kwa kujificha, this will pay you back big time.
 
Back
Top Bottom