John abruzzi
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,461
- 3,482
Kushabikia hizi timu ni presha tupu. Zipo hovyo sana hizi timu huko Ulaya.
Kimetokea Nini mkuu?😂😂😂😂😂 pole mkuu
oyawee?Kwani kuna nn??![]()
Cheshiii kala mbili huko na siuuuu juu 😃😃Kwani kuna nn??![]()
😃😃😃😃 cheshiii is is being hited bai siiiiiuuuuu 😃😃Kimetokea Nini mkuu?
Namshangaaa 😃😃😃Ulikuwa unategemea Chelsea waifunge Real Madrid? 😅
Chelsea na Liverpool msimu huu za ovyo sana wajipange tu msimu ujaoNamshangaaa 😃😃😃
Ulikuwa unategemea Chelsea waifunge Real Madrid?
Ovyo mno mkuu, sijui wamerogwaChelsea na Liverpool msimu huu za ovyo sana wajipange tu msimu ujao
Bado tunamsubiria MancityKushabikia hizi timu ni presha tupu. Zipo hovyo sana hizi timu huko ulaya.




😃😃😃😃 cheshiii is is being hited bai siiiiiuuuuu 😃😃
Chelsea na Liverpool msimu huu za ovyo sana wajipange tu msimu ujao