NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,915
Tatizo mnabet sana, mpaka mnataka timu zifanye mtakavyo.Yaani chelsea ua leeds unaiwekea dhamana kwa madrid.
Hapo utangoja sana, ni mpaka final na tunaondoka na mwali.Bado bwana enu city anangojewa