Uzuri uko kwenye macho ya mtu.Dar ni Moja ya Miji siwezi kuishi na sioapendi.Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k..
hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine,
kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.
haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko 🐒
sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama.
asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.
kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote.
Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa..
kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. 🐒
Thank you Dar es Salaam..
Heee! Kumbe na wewe una kwenu! Sasa mbona miaka yote ulikuwa hauendi, shida ilikuwa nini, uchaguzi unakuja sasa kumemenoga! Hautashinda ng'o kwa mtindo huu wa kuonekana wakati w uchaguzi tu.Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k..
hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine,
kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.
haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko 🐒
sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama.
asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.
kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote.
Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa..
kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. 🐒
Thank you Dar es Salaam..
nyumbani ni nyumbani tu,Heee! Kumbe na wewe una kwenu! Sasa mbona miaka yote ulikuwa hauendi, shida ilikuwa nini, uchaguzi unakuja sasa kumemenoga! Hautashinda ng'o kwa mtindo huu wa kuonekana wakati w uchaguzi tu.
mada ni kuwaaga ndugu zangu,Mada ipo aya ya mwisho, mada ni zaidi ya ilivyoandikwa.
Ulipaswa kutembelea pande hizo mkuu hope next time utafanya hivyohapana sijawahi mkuu
Ukjaaliwa kushinda utahamia tena Dar mpaka uchaguzi mwingine kunanoga tena! Eti nyumbani ni nyumbani.nyumbani ni nyumbani tu,
nimeamua tu kwa hiari yangu mwenyewe kuwa karibu sana na ndugu zangu..
hayo ya kushinda ama laa ni neema na baraka za Mungu, wanainchi watakavyoongozwa na utashi wao wa kuamua nani awe kiongozi wao kwa wakati huo, na ndio demokrasia ilivyo...
uongozi watoka kwa Mungu..
Wasalimie Mama Isara, Mbulu.Kwasabb kili kitu kinapatikana hapa, mathalani elimu, afya, biashara, usafiri n.k..
hali ya hewa ni nzuri licha ya uzito wake wakati mwingine,
kila mtaa umechangamka na utamaduni, staili na tabia yake ya maisha.
haiwezikani eti kwa siku moja tu uzunguke dar nzima uimalize kama mikoa mingine, lahasha, itakuchukua zaidi ya wiki moja kuielewa dar ni ya tofauti sana na kwingineko 🐒
sasa ni rasmi narudi nyumbani, kwa baba na mama.
asante sana wana dar es Salaam kwa ukarimu wenu, nimeishi vizuri sana nanyi na sasa naenda kuchangamana karibu zaidi na ndugu zangu, jamaa zangu marafiki zangu na wanainchi wangu huko nyumbani, mkoani kwa baba na mama mzazi.
kwa muda mrefu nimekua nikiishi dar es salaam zaidi ya eneo ninalo paswa kuwako muda wote.
Sasa ni rasmi, narudi nyumbani na nitakuwako huo 24/7 nyumbani , ofisini na field, nyote mnakaribishwa..
kunako majaaliwa baada ya 2025, Tutaonana tena wana dar es salaama.. 🐒
Thank you Dar es Salaam..
asante sana kwa well wish..Ukjaaliwa kushinda utahamia tena Dar mpaka uchaguzi mwingine kunanoga tena! Eti nyumbani ni nyumbani.