Kuscratch kwa TV za IPP Media ndani ya Star Times

nimezoea kucheki taarifa ITV kisha namalizia na Star TV ili nicheki na BBC, sasa ITV ikileta shida najikuta nacheki Star tv mwanzo mwisho, sijui hata program za TBC zikoje,
 
Tbc wazee.habari za ccm mwanzo mwisho
 
Cha ajbu Clouds, TV 1 na Star TV huwa hazina hilo tatizo. Bora ingekuwa inaskratch TBC hiyo hata wangeifuta hakuna neno
 
Hii hali inasikitisha sana, au ndo wanatuladhimisha tuangalie tbccm?
 
Back
Top Bottom