Kuscratch kwa TV za IPP Media ndani ya Star Times

Kuscratch kwa TV za IPP Media ndani ya Star Times

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
287
Reaction score
119
Wakuu kwa muda wa wiki wiki sasa channel.za ITV na EATV zimekuwa zikiscratch sana kwa sisi tunaoangalia kupitia Star Times..
Sijajua tatizo ni kisumbuz au channel zenyewe..kuna yyt ameina hili tatizo.?
 
Hata nami ni wiki saaasa nahisi ni startimes wamewafanyia hujuma nahisi maana kwa njia ya madishi ziko poa.
 
Ebwana hii hali inakera sana ila nahisi bado kuna bifu kati ya mengi na startimes coz starmedia wana-pata faida kupitia channel za mengi...
 
Aisee me nilidhan kwangu tu,kumbe kote itv chenga tupu hamna hata starehe ya tv tena.
 
yaani ndio mmenifumbua macho nimekuwa nikihangaika na mti wa antena kama enzi za analogia kuche ni wachina wana yao, bora nijipange nivute kitu cha Azam
 
Baba wala usihangaike na antenna....hawa wachina wamezoea vya bure na kubebwabebwa kama vipi nunua digtek...
 
Halafu kama ITV ikianza taarifa ya habari tu,kosa. King'amuzi cha startimes kina stuck mbaya. Bora mmelileta leo hapa kwani nilidhani ni mimi mwenyewe.
 
Star times wana bore sana tena wanasubiria taarifa ya habari ndo inazidi ku scratch
 
yaani ndio mmenifumbua macho nimekuwa nikihangaika na mti wa antena kama enzi za analogia kuche ni wachina wana yao, bora nijipange nivute kitu cha Azam

Pole mkuu..
 
Wakuu kwa muda wa wiki wiki sasa channel.za ITV na EATV zimekuwa zikiscratch sana kwa sisi tunaoangalia kupitia Star Times..
Sijajua tatizo ni kisumbuz au channel zenyewe..kuna yyt ameina hili tatizo.?

Same here tena mimi naka hapa karibu na itv
 
Wakuu kwa muda wa wiki wiki sasa channel.za ITV na EATV zimekuwa zikiscratch sana kwa sisi tunaoangalia kupitia Star Times..
Sijajua tatizo ni kisumbuz au channel zenyewe..kuna yyt ameina hili tatizo.?

Zaid ya week sasa matangazo yanakwaruza kwaruza
 
hata hapa kwangu nilitaka nimsikilize rais wa kuoteshwa ambaye anajua mziki wa EL ila anajitoa ufahamu kwa kuteketeza majihela gadafi amepoteza baada ya kupotezwa na ujkeinism ambao haumsaidii kama leo kaoteshwa inaskrachi
 
hamia Azam Tv mkuu kila kitu kina chapa ya HALALI
 
Aisee inakera sana hii, mimi pia kwangu hali ni hiyo hiyo, nilidhani ni mimi tu, mbaya zaidi hadi sauti inakuwa kama mwangwi vile.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Halafu kama ITV ikianza taarifa ya habari tu,kosa. King'amuzi cha startimes kina stuck mbaya. Bora mmelileta leo hapa kwani nilidhani ni mimi mwenyewe.

Kumbe cpo peke yangu ktk hlo,yaan taarfa ya habar ikianza 2 mambo si mambo
 
Back
Top Bottom