Mjomba Mkude
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 287
- 119
Wakuu,kwa kipindi cha wiki sasa ITV kupitia Star Times imekuwa ikiscratch sana hasa kuanzia mida ya saa mbili usiku. Naomba kujua kama kuna mtu ameona tatizo hili. Isije kuwa ni hujuma za TBC za kutaka tuangalie taarifa ya habari ya TBC badala ya ITV.