st kayumba pro
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 174
- 21
mkuu watanzania ni wapumbavu pamoja na lowasa wao pamoja na kusistiza elimu kumbe hajitambui yeye mwenyewe , nadhani bodi ya mkupo ingeboreshwa zaidi kuwa taasis inayojitegemea ili kuendelea kutoa huduma ya uhakika kwa
vijukuu , na wajukuu wetu
kwa kuhakikisha madeni yanalipwa kumbe wadaiwa watasamehewa hii ni aibu kwa mgombea uraisi
sasa kama elimu ni bure mpaka chuo kikuu utamdai nani sasa? manake waliosoma nyuma wasamehewe!