Kutokana na uzoefu wangu wa kimaisha na JF naona kama una mchumba au mke mzuri katika mambo mengine ispokuwa ukagundua kuwa ana chepuka solution siyo kumuacha. Maana hata ukipata mwingine possibility kwamba atachepuka ni kubwa. Ila nafikiri ukimsamehe uliyenaye amaweza kutulia na kuacha tabia hiyo na mkaishi kwa amani kwani atajutia matendo yake na kujirekebisha.
Sina uhakika na hili ila nahisi mtu aliye jeruhiwa anajirekebisha. Hasa baada ya kujutia vitendo vyake.
Ushauri wangu ukimfuma mwanamke kwa mara ya kwanza mpe nafasi baada ya kuhakikisha amejutia vitendo vyake na kuahidi kuacha. Mara ya pili ikitokea fukuzia mbali. Jamii ya leo ni ya ajabu. Utaacha wangapi?
Nimejaribu kufikiri hivi kutokana na visa vinavyoletwa hapa JF lila siku. Je solution ni kuacha na kutafuta mwingime.Najaribu kufikiri tu. Nyie mnaonaje