Kusalitiwa

Mvua na jua bora nini ?

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Ivi unajuaje. Demu anakupenda sasa demu anatembea na mshkaji wako bado unamwona ameridhika na wewe this is f*ckn bullshit nigga!!!!??...that's real fucked up!
 
Kaniomba msamaha na kamwe hata rudia kasema... Sasa nipo njia panda

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Uko njia panda unafanya nini.

Fanya maamuzi magumu mkuu.watu wengi tunafail kwa kuuacha moyo ufanye maamuzi.amka!!
 
sasa hy ndo defn ya mwanamke malaya! kwan ukimrudisha utapungukiwa nn mkuu! huu uzi hukutakiwa kuuleta hata huku aic kesho mpandishe na super feo! saa7 nitaenda kumwangalia km bado yupo kwa bus !lol!saa1 huenda akawa dar
 
Asante sana inatosha napiga chini narudisha kwao... Ila ananisave balaa , nguo anafua, chakula anapika, usafi anafanya ... Ila nafanya hivi si km ndio wa maisha nategemea anisave tu ...

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app


alafu baada ya miaka mi4 mnakuja kulalamika hapa mke wangu sio mwaminifu! pye!
 

 
Sitaki urudi hosp. Sipendi uwe huko ujue.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€....siwezi umwa tena.dawa yangu nimeshaikunywa na sasa niko kamili gado.
Nashukuru kwa hilo
 
Kumbuka japo ni kweli kuwa ARV zipo, ila pia ni kweli kuwa bado UKIMWI ni tishio/janga

sent from servant of God
 
sasa hy ndo defn ya mwanamke malaya! kwan ukimrudisha utapungukiwa nn mkuu! huu uzi hukutakiwa kuuleta hata huku aic kesho mpandishe na super feo! saa7 nitaenda kumwangalia km bado yupo kwa bus !lol!saa1 huenda akawa dar
Jibu analijua ila sema anajifanyisha tu.ni nani katika mapenzi alishawahi amuliwa ugomvi kama huo na watu baki?amua mwenyewe bhana.

Hicho kinachokuzunguka sasa hivi wewe Mtakayote ndicho ukitekeleze kwa bidada.usiwe mahusianoni na mtu kwa kumuonea huruma.siku huruma ikiisha ndo utaanza sasa kubadilisha viatu kulia kushoto.
 
Yan ww umeona kumnyanganya cm ndo
Kwamba hatoweza kukusalit
Tena? Pole sana wanawake huwajui ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…