Dar kweli ... Ila nampenda kishenziDaah mwanangu hao wanawake NEVER EVER trust them. Mimi ningekua wewe ningechukua narudisha ilipotoka haraka. Then muache mshikaji wako amlipie nauli arudi tena kama wanapendana kweli. Hizo ni tamaa tu lazima atarudi kwa mshikaji tena.
Swali: kwani hapo hapo Songea hakuna wanawake walau upunguze ugumu. Kuliko kukaa kufikiria una mke ndani halafu chakaramu..
Ntafikiria , tatizo naomba bado anaakili za kitoto ukizingatia umri wake she is 18unaona katulia enheeee ?
Jiulize ulipo mchukuwa hakutulia ?
Alifikiliaje kudeti na rafiki yako (kukusaliti) ?
Vipi ametulia kiuwanda gani maana usione anakaa kimya , hatumii simu , hatoki ukazani ametulia
Huyo we Rudisha kwao Dar es Salaam
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Mkulima aliyepanda zao la miwa pembeni ya barabara ya shule pamoja na wewe tatizo lenu ni moja. Wala usiwe na haraka ishi naye tu.Mambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea Arusha nikitokea songea na kumwacha yy baada ya kukaa nae mwezi mmoja, kwa bahati mbaya kuna mshaji wangu alimpenda yaani demu wangu imeonekana anamenda mshkaji mpaka sms za demu wangu kumtafuta mshkaji alinionyesha.. nilivyorudi kutoka Arusha, nilimbana maana niliyasikia kutoka kwa majiran kuwa demu wangu anauhusiano na mshkaji, ..aliniambia yote ni kweli na amekiri hatorudia tena na sim nimemyanganya nina wiki sasa nimemwona ametulia ila sina imani sana .. je nimrudishe au nimbakize...? Maana mm ninasafari sana za wiki na wiki mbili... NAOMBENI USHAURI...
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Kiongozi inabidi ufanye uamuzi mugumu sana. Huyo hata miezi 6 haijafika kashaanza ivyo. Piga chini fasta atakuja kukufanya ufanye maamuzi ambayo yatakupeleka kubayaDar kweli ... Ila nampenda kishenzi
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
ID yako inijidhihirisha kuwa wewe kweli ni mtakayote hivyo haina haja ya kukompleinMambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea Arusha nikitokea songea na kumwacha yy baada ya kukaa nae mwezi mmoja, kwa bahati mbaya kuna mshaji wangu alimpenda yaani demu wangu imeonekana anamenda mshkaji mpaka sms za demu wangu kumtafuta mshkaji alinionyesha.. nilivyorudi kutoka Arusha, nilimbana maana niliyasikia kutoka kwa majiran kuwa demu wangu anauhusiano na mshkaji, ..aliniambia yote ni kweli na amekiri hatorudia tena na sim nimemyanganya nina wiki sasa nimemwona ametulia ila sina imani sana .. je nimrudishe au nimbakize...? Maana mm ninasafari sana za wiki na wiki mbili... NAOMBENI USHAURI...
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Mkuu usijidanganye.mwanamke aliyezoea varieties (kubwa,ndogo,ndefu,fupi,nene,nyembamba)huwa habadiliki hata umsugue vipi,ameshazoea leo pilau,kesho wali,keshokutwa biriani.kumbuka huyo demu ndo alimshobokea rafiki yako.Jasiri haachi asili akiacha asili hana akili
Lakini na wewe ni mzembe kitandan mpaka anatongoza wanaume Emu mpe mgegedo mzur alafu lete mlejesho
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Toka hapo njia panda nenda nyumbani umwambie achukue kila likicho chake arudi Dar, lasivyo watakula wengine na wewe utalipa biliKaniomba msamaha na kamwe hata rudia kasema... Sasa nipo njia panda
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Basi kaa naye maana unashindwa kuelewa kama hizo ni za kitoto sasa akija kufikisha umri wa makamo si atakuwa kingi ktk draftiNtafikiria , tatizo naomba bado anaakili za kitoto ukizingatia umri wake she is 18
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Sio kwa kukumis huku jirani.ndo nini hvyo lkni??Umemtoa Dar? Kwa maana mmeokotana tu.
Kama jamaa ako anampango wa kuoa mwachie. Jitafutie mtoto mwingine mzee. Huyo hakupendi.
Au unaona wivu?
Jirani u mzima wew?Sio kwa kukumis huku jirani.ndo nini hvyo lkni??
Mi mzima kbsa jirani.sema nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa kukumissJirani u mzima wew?
Mkoloni anabana.