Maumivu kwa muhusika bila kujali wako kwenye ndoa ama wapenzi yapo pale pale...Ila tofauti inakuja baada ya kusalitiwa mkiwa wapenzi tu kuna option kibao za kufuata either kuachana bila kuwa na msururu wa mambo ama kuendelea bila shida lakini mkiwa ndoani baada ya kusalitiwa option zinakuwa finyo sana huwezi kuachana kienyeji enyeji lazima mshirikishe watu wengi...Na hata mkiendelea kuishi unakuwa tayr umejeruhiwa utaishi na mtu ili mradi tu lakin mapenzi halisi yanakuwa hakuna...