Kusalitiana mkiwa wapenzi tu na kusalitiana mkiwa mmefunga ndoa ipi inauma sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
Rejea tu kichwa cha habari hapo juu na karibu katika " utiririkaji ".

Nawasilisha.
 
Maumivu kwa muhusika bila kujali wako kwenye ndoa ama wapenzi yapo pale pale...Ila tofauti inakuja baada ya kusalitiwa mkiwa wapenzi tu kuna option kibao za kufuata either kuachana bila kuwa na msururu wa mambo ama kuendelea bila shida lakini mkiwa ndoani baada ya kusalitiwa option zinakuwa finyo sana huwezi kuachana kienyeji enyeji lazima mshirikishe watu wengi...Na hata mkiendelea kuishi unakuwa tayr umejeruhiwa utaishi na mtu ili mradi tu lakin mapenzi halisi yanakuwa hakuna...
 
Kwenye ndoa hakuumi sana utakuwa ulishamfaidi sana! ila kama upo kwenye mapenzi mara akwambie hatuta fanya tendo hadi tufunge ndoa, halafu umeshahudumia sana hela mwisho wa picha anakupiga chini!
 
Kusaritiana kwenye ndoa ndiyo kunauma zaidi kwasababu unakuwa umejihakikishia kuwa huyo uliyenae niwakwako milele lkn hawala huwezi kuwa na mamlaka nae yoyote so hata akikusariti utaumia kwa muda then utasahau haraka tofauti na mkeo au mumeo hicho kidonda kupona kwake inatakiwa deliverance players
 
Sijawahi salitiwa na mwanamke so far...ila huwa mara zote nikihisi tu kusalitiwa...nasepa chap...and never come back.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom