Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,898
- 55,864
Ukiona hiyo ujue hawana tricks
Mie mwisho wa mwezi sivai za ndani
Nikijipitisha tu, bhasss
Kumbe na wewe ni boss na una wafanyakazi nlidhani wakutumwaaa -shikamoo bosi
sijawahi kabisaKwan we hujawai itwa boss na machinga au dukani?
Hapo lazima mshahara wote akukabidhi tena CASH....
mwisho wa siku utakuja kuomba ushauri boss wako anakutaka, kumbe we ndo umemchochea hisia zake.
No. Halafu unaenda polisi kuomba kibali cha kuvuna
means kila mtu huwa anapewa au?Sasas mtu nimtege mwenyewe afu anitongoze nije kuomba ushauri hapa?Itakuwa sawa na kulima bangi afu nitake kuvuna mchicha, mie najua nifanyalo aisee, nilipewa niitumie
means kila mtu huwa anapewa au?
Tena mm nina kaHouseGirl ka Kisandawe hizo chuchu ni lazima kamsalimie Boflo kila siku sijui angekuwa anakipa mshahara kila siku?Chuchu saa sita zinatoboa blausi unadhani bosi atabaki??
Thubutu yake
Tena mm nina kaHouseGirl ka Kisandawe hizo chuchu ni lazima kamsalimie Boflo kila siku sijui angekuwa anakipa mshahara kila siku?
Lakini kweli kama hawa walinzi wa Usiku kabla hujaamka utamsikia akikohoa kwanguvu ujue anakusubiri tu na shikamoo kibao ingawa wewe ni Mjukuu kwake ili tu umkatie chako
He he he, huu unaitwa wizi wa hiari
sawa mamaAnapewa kutegemea na demand/supply vs push/pull factors
Jirekebishe mkuu, hizo ni dalili mbaya kwa upande wako. Inaonesha kwamba, mtu kupata haki yake toka kwako ni ngumu bila kukunyekea.
Basi mkuu mm siko hivyo; wala sipendi kusalimiwa
Sina kawaida ya kumcheleweshea mtu haki yake kabisa...
lakini hii tabia iko kwa watu wengi sana, ndio maana
nikauliza kupata mawazo yako na sio kunishambulia
Jirekebishe mkuu, hizo ni dalili mbaya kwa upande wako. Inaonesha kwamba, mtu kupata haki yake toka kwako ni ngumu bila kukunyekea.
Basi mkuu mm siko hivyo; wala sipendi kusalimiwa
Sina kawaida ya kumcheleweshea mtu haki yake kabisa...
lakini hii tabia iko kwa watu wengi sana, ndio maana
nikauliza kupata mawazo yako na sio kunishambulia
Mara nyingi mabosi wanaosalimiwa salimiwa na wafanyakazi wao mwisho wa mwezi ni watata kwenye ulipaji, hivyo jamaa wanajua wasipokuwa karibu naye japo akumbuke kuwa nao wapo wanaweza kuona vumbi tu. Nasiku wakimuona ameishiwa tayari.
Jaribu kwenda kwenye ofisi za wanaojua kulipa vizuri, bosi mkuu anaonekana siku ya kikao (Aidha cha Onyo/Majukumu ya kiofisi) au Get together.
Chuchu saa sita zinatoboa blausi unadhani bosi atabaki??
Thubutu yake