Sasa Babati hebu niambie kusaini pale kwenye kaunta buku kunasaidia kuzuia mtu mwenye nia mbaya? ndio maana mie nimewaza kuwa labda wanataka wapate idadi ya watu waliofika hapo siku hiyo.Mkuu ujue kitechnolojia bado tupo nyuma sana hatuna vifaa na watumiaji wa vifaa hawapo, huu utaratibu unamsaidia mlinzi pindi likitokea tatizo, vumilia tu mkuu bado sisi ni ulimwengu wa tatu.
Ila shemeji sidhani kama ndio lengo lao!!!Mfano kikitokea cha kutokea labda jengo likalipuka, inakuwa rahisi kujua nani na nani walikuwa ndani na hivyo ndugu wa waathirika kupata habari.
Kwani huyo kibaka na mhuni anashindwa kusaini kwenye hiyo kaunta buku na kwenda kufanya yake?! ndio maana nikasema hivi huo utaratibu hauna tija. Hizi halmashauri nilizozitaja wajitahidi wanunue kale "kadude ka kupapasa mtu" akiingia pale getiniPunguza hasira best, huo ndio utaratibu WA ofisi ili kupunguza punguza wahuni na vibaka kuingia hovyo maofisini
Umesema kweli mkuu majotoTukio baya na kubwa litakapotokea watabadilika. Hujui tunajiendesha kwa matukio
Kiasi fulani inasaidia kujua nani na nani waliingia wakati gani mkuu? kumbuka mkuu majengo yetu hayana vifaa vya kisasa, hivyo acha tuendelee kufanya locally kuliko kuacha kabisa.Sasa Babati hebu niambie kusaini pale kwenye kaunta buku kunasaidia kuzuia mtu mwenye nia mbaya? ndio maana mie nimewaza kuwa labda wanataka wapate idadi ya watu waliofika hapo siku hiyo.
Ila shemeji sidhani kama ndio lengo lao!!!
Nimekusoma tano kwa tano BabatiKiasi fulani inasaidia kujua nani na nani waliingia wakati gani mkuu? kumbuka mkuu majengo yetu hayana vifaa vya kisasa, hivyo acha tuendelee kufanya locally kuliko kuacha kabisa.
Noted mkuuNimekusoma tano kwa tano Babati
Mie nina saini shemeji ila sioni kama yana tija endapo mtu mbaya anataka kwenda kufanya kitu kibaya au amebeba kitu kibayaNi muhimu sana kusign kwa majina kamili, pia kuna upotevu wa mali unaweza kutokea, sasa kama ikigundulika hukusign au ulitumia majina fake, kesi inaweza kukangukia bure,
Au unasign kuingia unasahau/unaacha kusign kutoka.
Haya madaftari usiyadharau kabisa, tena nakushauri kuanzia leo wewe sign tu bila kulala.
We unafikiri lengo ni nini ,kila kitu kina maana yake uo utaratibu ni mzuriIla shemeji sidhani kama ndio lengo lao!!!
Mie nina saini shemeji ila sioni kama yana tija endapo mtu mbaya anataka kwenda kufanya kitu kibaya au amebeba kitu kibaya
JF huwa tunashirikishana maujuzi, mie nimiliona hilo kwa mabaya, naomba na wewe Tajirimsomi unisaidie mazuri yake. Natanguliza shukrani zangu za dhati, wako mtiifu, CHIKIRA MTABARIWe unafikiri lengo ni nini ,kila kitu kina maana yake uo utaratibu ni mzuri
Nimekuelewa vizuri Erickford4, kumbe utaratibu huu ni kwa faida ya wateja wa nje wanaotembelea ofisi zile, sasa vipi kwa upande wa usalama wa watumishi na mali za ofisi ile. Si umeshasikia ile story kwamba kuna majambazi yalienda ofisi Fulani yana silaha yakaingia ndani yakamteka mtunza fedha awapatie fedha zote zilizokuwa kwenye kasiki!Hiyo inakusaidia ukipata matatizo ndani ya ofisi ukazimia au kupoteza maisha watafahamu wakupeleke wapi ili utambulike haraka, ni muhimu kutoa details zako za kweli ili ikusaidie ukipata dharura