Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
ajabu yake ni nini? kama namfulia na yeye anaweza kunifulia inapobidi.
Weeee! Eti?
Hujambo mamaa?
Nisamehe bure. Kwa hapo tutatofautiana.
Samahani sana lakini.
hamjakutana na makofi huko kwenye ndoa nyinyi................. tena mengine ni ya asubuhiasubuhi ukamwonyeshe na huyo bosi wako anayekusarandia hadi unajiona umefuzu unakuwa na kiherehere ..................
hamjakutana na makofi huko kwenye ndoa nyinyi................. tena mengine ni ya asubuhiasubuhi ukamwonyeshe na huyo bosi wako anayekusarandia hadi unajiona umefuzu unakuwa na kiherehere ..................
kuna wakati unaropokwa vibaya sana wewe kijana.....
mhhhhhhh! makofi just bse ya panties.....
it seems wewe ni miongoni mwa wale ugly and iresponsibo, non caring hubies.just a simpo matta kama hio umfanye mkeo ngoma. walahi ningekua mie ndo nkeo hiyo mikono ingeipata khabari yake,
kuna wakati unaropokwa vibaya sana wewe kijana.....
cjambo mbee... jamani unamaanisha huwezi kunisaidia hata cku moja moja inapobidi? mbona mie nafua za kwako kila ukiziacha?
Akilikichwani needs a break. Inaonekana kachoka
Na wewe ni vizuri ukajua kuna wanawake wengine hawachezewi, usijekuta unaenda wewe job na manundu,ni onyo kuwa wanaume wengine hawachezewi....................... mtakuja kwenda makazini kwenu na manundu ya asubuhiasubuhi.................... shauri yenu....................
Kwani alitaka kuoa mke au dobi? Washing Machine?
Na wewe ni vizuri ukajua kuna wanawake wengine hawachezewi, usijekuta unaenda wewe job na manundu,
mmmh, ndoa zingekuwa zinatunzwa ili zidumu kihivi kazi ingekuwepoHapana. Mi namuunga mkono. Mnajua ndio maana ndoa zinavunjika kwasababu wanawake hawajui kutimiza wajibu wao. Sasa AK akiwaelezeni nyie mnamwona zimemruka. Shauri zenu.
Akilikichwani needs a break. Inaonekana kachoka
why not? kama wewe unaweza kumdunda, nani kasema yeye anashindwa?Hilo dume litakuwa BWABWA!
Yani mwanamke anibonde? Over my dead bode! Igweeeeee!
Mimi kufua? Hapana kwakweli. Nisamehe tu bure.
Ila wewe kunifulia huo ni wajibu wako.
Nisamehe tu mamaa. Hiyo ndiyo hali halisi na ukweli mtupu.
ni onyo kuwa wanaume wengine hawachezewi....................... mtakuja kwenda makazini kwenu na manundu ya asubuhiasubuhi.................... shauri yenu....................