tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 66
teh teh, nadhani kusaidiana ni muhimu, ila kuna vitu vingine inabidi ufanye mwenyewe ndugu yangu. siye waafrica usilete mambo ya kizungu.
kaugomvi kadogo kweli hako harafu ka kitoto toto vile ...
Wana Jfs nalileta hili ombi nisaidieni kumuelimisha my best friend wangu...
Story yenyewe iko hivi nanukuu tukiwa kama mume na mke tunatakiwa kusaidiana, kwa mfano umeamka asuhuhi umekwenda kazini jana yake umeloweka nguo zenu za ndani asubuhi yake kwa sababu umechekewa kazini ukashindwa kuzifua ukampigia simu mume ambaye yupo likizo ukamuomba akusaidie kufua...akasema sawa uliporudi home ukazikuta kama ulivyoziacha ukaamua umuulize akakuambia tokea asubuhi ashinde hapo home hakuingia bafuni/****** so alisahau hakuziona...mara ugomvi unaanza niache uchafu na mimi ni mvivu sasa hapo ni nani ana makosa...wakati nikiwa kazini nilimuomba anisaidie...na ndoa ni kusaidiana jamani..kuingia tuu chumbani kwetu ambapo ni master afue hizo nguo anaona haya!!please naomben ushauri wenu maana imeniuma sana...
Some advice!
From Friend...
kaugomvi kadogo kweli hako harafu ka kitoto toto vile ...
I thought the same.Mkuu hakuna formula fixed kwa mapenzi ya watu wawili, wapo wasiojali na kufikia kuwapa watumishi hivyo vinasa, wapo wanaofua kila wakimaliza kuoga, wapo wanaosaidiana ilimradi mmoja kakuta nguo hizo, wapo wanaoamini ni kazi ya mwanamke na wapo wanaachia waume zao
Ushauri wangu ni kwamba hapo kuna tatizo zaidi ya hizo chupi... communication yao inaonekana kuwa poor na mimi nadhani they need to dig deeper than the "underwear matters"!!
I thought the same.
huyo mwanmke ni mchafu na anastahili talaka.................. mwanaume afue vitasa???????????????? labda yule wa noname......................... shame shame.............. shameful..............
ajabu yake ni nini? kama namfulia na yeye anaweza kunifulia inapobidi.
ni muda gani muafaka wa kukutumia sms na UKAJIBU?😀Weeee! Eti?
Hujambo mamaa?
Nisamehe bure. Kwa hapo tutatofautiana.
Samahani sana lakini.
ni muda gani muafaka wa kukutumia sms na UKAJIBU?😀