Motowntzjpm
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 134
- 209
Je, nikweli sharti Mtanzania awe na hati Ili abadili boti kwenda Unguja wadau[emoji41]
Kule wanapaweza wenyewe tu aiseeUkishakaa siku moja unatamani uondoke zako very boring
Sio kweli. Ila unahotaji kitambulisho tu aidha cha kura ama leseni ya udereva au kadi ya NIDAJe, nikweli sharti Mtanzania awe na hati Ili abadili boti kwenda Unguja wadau[emoji41]
Hakika. Hakuna vibe kama baraKule wanapaweza wenyewe tu aisee
Unguja ni Tanzania pia! Kinachohitajika ni uthibitisho tu kuwa wewe ni Mtanzania.Je, nikweli sharti Mtanzania awe na hati Ili abadili boti kwenda Unguja wadau[emoji41]
Kivipi Tena mbona wale vijana wa diving pale forodhani unaenjoy tu afu ccm Kuna bar paleUkishakaa siku moja unatamani uondoke zako very boring
Na wenyewe wanapokuja huku Tanganyika huwa wanahitajika kuwa na hivyo vitambulisho?Sio kweli. Ila unahotaji kitambulisho tu aidha cha kura ama leseni ya udereva au kadi ya NIDA
ndiyo huwa wanakaguliwa pia mkuuNa wenyewe wanapokuja huku Tanganyika huwa wanahitajika kuwa na hivyo vitambulisho? Au ndiyo yale yale ya Muungano wa changu changu, chako changu!!
SijajuaNa wenyewe wanapokuja huku Tanganyika huwa wanahitajika kuwa na hivyo vitambulisho?
Sasa mbona Ipo siku walikagua simu Kwa kupiga*106# Ili kujiridhisha kuhusu usajili ikiwa jina linalosoma ndilo lipo kwenye kitambulisho...afu ukaguzi wenyeww wa kipolisi Polisi wa mashaka kana kwamba wote watuhumiwaUnguja ni Tanzania pia! Kinachohitajika ni uthibitisho tu kuwa wewe ni Mtanzania.