Kusafiri na demu kauzu

Kusafiri na demu kauzu

Jumapili nilikwenda moro, basi kipindi kuna foreni ya ticket akatokea demu basi tumekata ticket zetu, yaaan njian full madaha mpaka kuninulia vitu, nisiwe mnafiki nilii enjoy sana, sema yeye jana ameenda Mombasa kwao Mm Ndio narud dar city
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani kanifananisha na ex wake, anamajibu ya mkato, ni mtu asiyejali sana sasa sijui nifanye nini, kwenye simu yake kuna app ya Jf nimeamua kuandika uzi huu kisha nimwambie samahani dada ingia Jf kwnye jukwaa la MMU kuna uzi unachekesha, akiusoma huenda story zitaanza na nitafanikisha lengo langu.

Updates:
Kaniuliza tumefika wapi nikamwambia huku na smile aka smile kidogo, nadhani tutapatana
 
Back
Top Bottom