Kusafiri na demu kauzu

Kusafiri na demu kauzu

Jifanye unapokea simu halafu unazungumzia mamilioni,mfano hiyo milioni 50 itume kwenye crdb na 70 nitumie nmb then sema tarehe 2 nakwenda london kufuaata mzigo,mwenyewe atajichekesha tu..
 
hii inaonekana kabisa ni igizo
 
Msondongoma waliimba wimbo wa "wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika" so anakimilisha ya waliosema wahenga! hahahaha!
Hahaa. Sasa bila kutuliza nafsi zenu mwisho wa siku si tutawapoteza sababu kikawaida huwa vizuri haviishi ujue. Msijitese bana jizuieni. 😂😂😂
 
Anza na story za kawaida kawaida ataongea tuu...hakunaga demu kauzu.
 
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani kanifananisha na ex wake, anamajibu ya mkato, ni mtu asiyejali sana sasa sijui nifanye nini, kwenye simu yake kuna app ya Jf nimeamua kuandika uzi huu kisha nimwambie samahani dada ingia Jf kwnye jukwaa la MMU kuna uzi unachekesha, akiusoma huenda story zitaanza na nitafanikisha lengo langu.
SUBIRIA KATIKA MSOSI HAPO STORY NDIO ZINAANZA
 
Unaweza kuta wewe tu ndo umeshindwa jinsi ya kumuanza...

Mademu wa hivyo wanakuwaga warahisi sana na wala siyo wagumu

Ila tu jinsi ya kumuanza...

Mwambie samahani Dada kama nakufananisha vile....

Ukikujibu na nani?

Mwambie nakufananisha na mbwa wangu marehemu.
 
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani kanifananisha na ex wake, anamajibu ya mkato, ni mtu asiyejali sana sasa sijui nifanye nini, kwenye simu yake kuna app ya Jf nimeamua kuandika uzi huu kisha nimwambie samahani dada ingia Jf kwnye jukwaa la MMU kuna uzi unachekesha, akiusoma huenda story zitaanza na nitafanikisha lengo langu.
Hatimaye bwana Sijuti kajuta[emoji38]
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai......hata simba anazaa!
 
Jifanye unapokea simu halafu unazungumzia mamilioni,mfano hiyo milioni 50 itume kwenye crdb na 70 nitumie nmb then sema tarehe 2 nakwenda london kufuaata mzigo,mwenyewe atajichekesha tu..
Tatizo muonekano wake na hiyo Milioni 50 tu ni mbingu na ardhi.........mshauri vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom