Huhitaji VISA, ni passport yako tu mkuu. Kama utahitaji tips zaidi nicheki, nina connections zangu huko.Habari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo.
Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina makubaliano gani.
Which part? Pale mjini Accra mbona mswano tu?Aisee Ghana kuna malaria sana.. ukikaa vibaya unaweza kula malaria mara 2 ndani ya mwezi mmoja.
Ninayo but it's not always reliableHuna ChattGpt?
Asante sana. Naanza maandalizi mdogo mdogo. Nikikwama nitakutafuta. UbarikiweHuhitaji VISA, ni passport yako tu mkuu. Kama utahitaji tips zaidi nicheki, nina connections zangu huko.
Hapana,visa utagongewa hapohapo ukitua fhana mimi nimesafiri wiki iliyopita sikudaiwa visaHabari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo.
Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina makubaliano gani.
Hakuna atakaekuuliza mambo ya bank statement mkuu. Cha msingi uwe tu na barua ya mwaliko either kutoka kwa ofisi ambayo imekualika Ghana (kwa mkutano au kikao, etc), au uwe na barua ya mwaliko kutoka kwa mtu alieko Ghana ambae anakualika umtembelee, na pia uwe na return ticket. Tena hivyo vitu pale Airport ya kwetu ndo watakusumbua kukuulizia uwaonyeshe. Ukifika huku watu wao wa immigration hawana shida na Watanzania kabisa, mimi nilivyotua Accra watu wao wa immigration waliniuliza umekuja kufanya nini huku, nikajibu kiutani nimekuja huku nioe mwanamke wa Ghana maana ni wazuri sana, nawapenda. Jamaa akacheka vibaya sana, akagonga passport yangu mhuri, tena kanipa full 60 days!!Asante sana. Nilisoma mtandaoni kuwa wanahitaji kuona bank statement yako isije ikawa unataka kuzamia. Je ni kweli inabidi niandae hiyo kitu?
Hao waghana wana kimbia kwao sasa uzamie kwa lipi?Asante sana. Nilisoma mtandaoni kuwa wanahitaji kuona bank statement yako isije ikawa unataka kuzamia. Je ni kweli inabidi niandae hiyo kitu?
Hata mimi nimeshangaa kidogo.Hao waghana wana kimbia kwao sasa uzamie kwa lipi?