Utaratibu upo ila watanzania hatutaki kufuata, na sharia ikichukuwa mkono wake, tutalaamika na kuwalaani tuliowaajiri kuhakikisha tunafuata hizo taratibu.Tanzania hakuna utaratibu kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kaweka Beach. Cow way Beach.
Mhemhe ndio nini kwanza?Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
View attachment 662854
View attachment 662855
View attachment 662856
View attachment 662857
Kwa wadau wa mazingira na mamlaka zinazohusika na hili ,je ni sahihi kuruhusu mifugo kufika ktk maeneo haya ya public?
Msiinite central kujieleza,kama mnataka maelezo tuhojiane hapahapa.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,eti kisa kada wa Ccm, patamu apoMimi nakaa maeneo ninayokaa Ni hivyo hivyo mifugo Kama ngombe na mbuzi wanazagaa mpaka kero.Hatukatai watu kufuga ila jamani waangalie na afya za watu wengine .Mbezi beach mpaka kawe yote hiyo utafikiri serikali imelala yote.Mimi jirani yangu anakera mpaka Basi kiss kada wa CCM mifugo inazagaa mpaka unatamani kulia .Tuna open space watoto hawawezi kucheza Tena kwani yeye na ngombe wake.Makonda uje na uku Basi au nayo wameruhusiwa Kama wamachinga