Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

I am sure ACACIA will think twice..after observing increase of sales of shares....the war continues.....
 
Watu wanaongea na mwenye mbwa sio mbwa!
Mkuu mimi nikusaidie tu kwenye kaeneo kamoja kadoooogo....

Kwenye Sheria za Makampuni kuna wanahisa wanaitwa Majority Shareholder na Minority Shareholders na wengine wengi kama preferential shareholders.
Na kwenye Maamuzi yenye maslahi ya Kampuni kuna kitu kinaitwa Majority Rule -Ambacho hutaka wale wenye HISA nyingi kwenye kampuni ndio has a wanapaswa kutoa Maamuzi tunayoita Final and Conclusive...lakini maamuzi hayo yasiwe yanawaumiza Minority shareholders!
Na siyo kila Jambo lihusulo kampuni maamuzi ya Majority yanapaswa kuprevail, hapana kuna mengine ni lazima Minority nao wa_consent na hii itategemea MEMART inasemaje.

Hivyo nashauri tusiwe wepesi wa kuweka mawazo kwenye jambo ambalo hulifahamu kwa undani, KWANINI HATUJIULIZI NI KIPI KINAWAPA JEURI HAO JAMAA WA ACACIA, ni kipi kinawafanya wasiheshimu Maamuzi ya Majority?

Tafakari Jombaaa
 
kumbe kichwa nazi hivyoo?
Kwan sisi tunawadai Barrick?
Sasa kama hamuwadai mlifanya nao mazungumzo ya nini? Kwanini Acacia hakuwepo kwenye mazungumzo? Mlitegwa mkategeka. Barrick watakuja waseme hawana hela, watalipa kidogo kidogo. Wakipata buku, buku 10 n.k.
 
Prof. Kabudi msikilizeni vizuri.. Sijui watu hawaelewi lugha hata ya kiswahili..

Prof. Kabudi kaelezea vizuri kabisa..
 
Wajue kuwa wana uwekezaji unaozidi hizo fedha na uzuri wenyewe uko hapahapa Tanzania.

Mchina wajF.
Na washawasha!
 
Hivi magufuli anangoja NINI kumtia ndani huyo mwizi? Kaiba halafu analeta nyodo!!! Walikuwa wanadaiwa MILIONI 400 na usher lakini wamepunguziwa watoe MILIONI 700 NAZO hawataki kutoa kimsingi tutaifishe mitambo YAO tu, Watajakuja wengine waaminifu
 
Wanandoa wamegombana, halafu badala ya kukaa na kusuluhishana, mmoja wao anang'ang'ania kuongea na baba mkwe. Eti ndiyo mwenye mbwa.

Uswahili ni janga lingine la taifa letu

Hivi wasahuri wanaelewa kitu kinaitwa company law, au corporate governance??
 
Mkurugenzi wa Fedha wa Acacia asema hawana Dola Milioni 300 za kuilipa Serikali ya Tanzania kama ilivyokubaliwa katika mazungumzo.

- Siku ya jana Rais Magufuli alipokea taarifa ya majadiliano kati ya wawakilishi wa Tanzania wale wa Barrick iliyoeleza kuwa Barrick wamekubali kulipa kiasi hicho.

Source JF..
 
Mkuu mimi nikusaidie tu kwenye kaeneo kamoja kadoooogo....

Kwenye Sheria za Makampuni kuna wanahisa wanaitwa Majority Shareholder na Minority Shareholders na wengine wengi kama preferential shareholders.
Na kwenye Maamuzi yenye maslahi ya Kampuni kuna kitu kinaitwa Majority Rule -Ambacho hutaka wale wenye HISA nyingi kwenye kampuni ndio has a wanapaswa kutoa Maamuzi tunayoita Final and Conclusive...lakini maamuzi hayo yasiwe yanawaumiza Minority shareholders!
Na siyo kila Jambo lihusulo kampuni maamuzi ya Majority yanapaswa kuprevail, hapana kuna mengine ni lazima Minority nao wa_consent na hii itategemea MEMART inasemaje.

Hivyo nashauri tusiwe wepesi wa kuweka mawazo kwenye jambo ambalo hulifahamu kwa undani, KWANINI HATUJIULIZI NI KIPI KINAWAPA JEURI HAO JAMAA WA ACACIA, ni kipi kinawafanya wasiheshimu Maamuzi ya Majority?

Tafakari Jombaaa
Sawa mkuu. Wewe unajua kuliko wanasheria wa Barrick na akina Kabudi waliofikia uamuzi huu. Nimekuelewa mtaalamu.
 
Taarifa za hivi punde kutoka DW idhaa ya kiswahili, imesema mamlaka ya juu kabisa toka kwa kurugenzi ya fedha ya Barrick imesema haina pesa za kuilipa Tanzania 300$m kama ilivyokubaliwa katika mazungumzo baina ya Tanzania na Barrick hivi karibuni.

Ni habari ya hivi punde kutoka Radio DW ya Ujerumani Leo mchana, idhaa ya Kiswahili.

Hii tuseme ni janja ya makampuni ya kibeberu yanayotumia mbinu nyingi kuzinyonya inchi za kiafrica?.

Zitto Kabwe ahojiwa na kuilaumu Serikali ya Tanzania kuvujisha habari ambayo kimsingi haikuridhiwa na Acacia Jana.

=====

Acacia Mining says cannot pay $300 million to Tanzania upfront

Oct 20 (Reuters) - Gold miner Acacia Mining Plc does not have the ability to make a $300 million payment to the Tanzanian government to resolve a tax dispute, Chief Financial Officer Andrew Wray said on a call with analysts.

Acacia’s majority stakeholder, Barrick Gold, on Thursday reached an agreement with Tanzania that included a $300 million payment by Acacia and splitting of ‘economic benefits’ from operations with the Tanzanian government. (Reporting by Sanjeeban Sarkar in Bengaluru; Editing by Sunil Nair)

Source: Acacia Mining says cannot pay $300 mln to Tanzania upfront

DU!SASA ITAKUWA JE NA RAIS ALISHA ITISHA ILETWE HARAKA AZIPANGIE KAZI?Tena ilibidi kuchanganya Ung'eng'e na Kiswahili ili kuweka msisitizo!
 
Hivi magufuli anangoja NINI kumtia ndani huyo mwizi? Kaiba halafu analeta nyodo!!! Walikuwa wanadaiwa MILIONI 400 na usher lakini wamepunguziwa watoe MILIONI 700 NAZO hawataki kutoa kimsingi tutaifishe mitambo YAO tu, Watajakuja wengine waaminifu
Bruv, unaweza kunielezea ati namna gani imefanyika mpaka ile ‘good faith’ amaount ikapatikana? Nimeuliza hili swali mpaka sasa sijapata majibu! Sasa nasikia ripoti za Osoro na Mruma hazikutumika kwenye kufikia maamuzi, sasa kwanini tulitumia pesa zote zile kuwa na hizo tume?

Yaani kutoka USD 190B hadi USD 300M, imekokotolewaje hii?
 
Back
Top Bottom